SITAMBUI U-BOSS WA ALIKIBA KWENYE LEBO YA ROCKSTAR-: BARAKA DA PRINCE

SHARE:

Siku chache zilizopita lebo ya muziki ya Rockstar 4000 ilimtambulisha mkali wa muziki nchini  Alikiba  kama mmoja wa viongozi katika body ...

Siku chache zilizopita lebo ya muziki ya Rockstar 4000 ilimtambulisha mkali wa muziki nchini Alikiba kama mmoja wa viongozi katika body ya madirector katika lebo hiyo.
Ila jana usiku kwenye kipindi cha Ala za Roho ya Clouds fm Diva The Bawse alikuwa na Exclusive interview na Baraka Da Prince ambaye naye pia ni msanii kutoka chini ya uongozi wa Record Label hiyo.
Cha kushangaza ni pale Baraka Da Prince alipo kanusha kuzifahamu taarifa za Alikiba kupewa uongozi katika lebo hiyo na kudai kuwa hata yeye anaziona taarifa hizo kwenye mitandao ya kijamii tu.
Baraka Da Prince amedai kuwa bado hajapewa taarifa kutoka katika uongozi wa juu kuwa Alikiba ni mmoja wa viongozi katika lebo hiyo, na hivyo hamtambui Alikiba kama kiongozi katika lebo hiyo.
Unaweza kuona ni kipi kinaendelea baina ya wakali hawa ikiwa hivi karibuni kumekuwa na story zinazo wahusisha kutokuwa na maelewano mazuri. Niachie comment yako kwa chochote ambacho umekielewa kuhusu wakali hawa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SITAMBUI U-BOSS WA ALIKIBA KWENYE LEBO YA ROCKSTAR-: BARAKA DA PRINCE
SITAMBUI U-BOSS WA ALIKIBA KWENYE LEBO YA ROCKSTAR-: BARAKA DA PRINCE
https://2.bp.blogspot.com/-jvTmmgOn6kM/WWiMw5zjdFI/AAAAAAAAczQ/k1wlHTlwvTMDNHw6HZuGRKOIsG1WNhZHgCLcBGAs/s1600/barakahtheprince_-20170713-0001.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-jvTmmgOn6kM/WWiMw5zjdFI/AAAAAAAAczQ/k1wlHTlwvTMDNHw6HZuGRKOIsG1WNhZHgCLcBGAs/s72-c/barakahtheprince_-20170713-0001.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/sitambui-u-boss-wa-alikiba-kwenye-lebo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/sitambui-u-boss-wa-alikiba-kwenye-lebo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy