TAASISI YA UJERUMANI KUGHARAMIA MAFUNZO YA WATAALAMU WA AFYA NCHINI

SHARE:

Jitihada za Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan za kusaidia uboreshaji wa huduma za afya hasa kwa w...

Jitihada za Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan za kusaidia uboreshaji wa huduma za afya hasa kwa wanawake nchini zimeendelea kuzaa matunda baada ya Taasisi ya Merck yenye makao yake makuu nchini Ujerumani kumwahidi kuwa itaanzisha mpango kugharamia mafunzo maalum kwa wataalamu wa afya nchini hasa kwenye maeneo ya saratani kwa watoto, matibabu ya saratani kwa upasuaji na utabibu kwa Tanzania Bara na Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Merck Dkt Rasha Kelej ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam na kusema kuwa taasisi hiyo imejitolea kuisaidia Serikali ya Tanzania katika jitihada zake za kuboresha sekta ya afya kwa Tanzania bara na Zanzibar kupitia mpango huo unaotarajiwa kuanzishwa mwishoni mwa mwaka huu.
Dkt Rasha Kelej amesema mafunzo hayo kwa wataalamu wa afya yatatolewa kwa muda wa mwaka Mmoja hadi Mitatu katika Mataifa ya India, Ulaya na Kenya lengo kuu hasa la mafunzo hayo ni kuboresha upatikanaji wa huduma zote zinahusu saratani hapa nchini.
Taasisi ya Merck pia imemhakikishia Makamu wa Rais kuwa watajikita katika kuwajengea uwezo akina mama wenye matatizo ya ugumba kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi zinazohusia na matatizo ya ugumba hivyo itasaidia kubadilisha mtazamo ambao umejengeka kwenye jamii kuhusu masuala ya ugumba kwa akina mama.
Ajenda hii itasimamiwa kupitia programu ya Merck More Than a Mother.
Kulingana na takwimu zilizotolewa Watendaji wa Taasisi hiyo zinaonyesha kuwa tatizo la ugumba kwa wanandoa barani Africa ni kubwa ambapo inakadiriwa kwamba katika kila ndoa Nne, Moja inasumbuliwa na changamoto ya ugumba na karibu asilimia 85 ya ugumba inasababishwa na ukosefu wa matibabu kwa magonjwa ambayo yanaweza kutibika.
Aidha, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza taasisi ya Merck kwa juhudi zao za kuboresha sekta ya afya barani Africa na amewakaribisha kwa mikono miwili kuja kufanya kazi nchini Tanzania.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema amefurahishwa na mipango na mikakati ya taasisi hiyo na kwamba Serikali iko tayari kushirikiana na Merck foundation katika kuwajengea uwezo kina mama pamoja na utoaji wa mafunzo kwa wataalamu mbalimbali  wa sekta ya afya nchini hasa kwenye matatizo ya saratani na ugumba kwa ujumla.
Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ikulu- Dar es Salaam
13-Julai-2017.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TAASISI YA UJERUMANI KUGHARAMIA MAFUNZO YA WATAALAMU WA AFYA NCHINI
TAASISI YA UJERUMANI KUGHARAMIA MAFUNZO YA WATAALAMU WA AFYA NCHINI
https://2.bp.blogspot.com/-28tY0hPDbo8/WWeEtQu58LI/AAAAAAAAcw8/jak59RJ0py8sCgya9sqUUoHTg5cln_a3wCLcBGAs/s1600/62418358_015118584-1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-28tY0hPDbo8/WWeEtQu58LI/AAAAAAAAcw8/jak59RJ0py8sCgya9sqUUoHTg5cln_a3wCLcBGAs/s72-c/62418358_015118584-1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/taasisi-ya-ujerumani-kugharamia-mafunzo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/taasisi-ya-ujerumani-kugharamia-mafunzo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy