TAIFA STARS YAWEKA KAMBI MWANZA BILA ULIMWENGU NA MAGURI

SHARE:

Kikosi cha timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kimesafiri kwenda jijini Mwanza kwa Ndege ya Fast Jet ikiwa na ongezeko la w...

Kikosi cha timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kimesafiri kwenda jijini Mwanza kwa Ndege ya Fast Jet ikiwa na ongezeko la wachezaji wapya saba.
Kati ya hao ambao Kocha Mkuu Salum Mayanga amewaita, wamo wale aliowatangaza juma lililopita ambao ni John Bocco, Kevin Sabato pamoja na kinda Athanas Mdamu ambaye anacheza Alliance ya Mwanza inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza.
Katika kikosi chake kabla ya kuivaa Rwanda Jumamosi ijayo, wachezaji wengine ambao Kocha Mayanga amewatangaza leo ni pamoja na Kipa wa Serengeti Boys – timu ya taifa a vijana ya Tanzania, Ramadhan Kabwili.
Mbali ya hao wamo pia Boniface Maganga kutoka Mbao FC, Joseph Mahundi kutoka Azam FC na pia amemrejesha tena Said Ndemla wa Simba SC ambaye awali alikuwa kwenye uangalizi wa majeraha.
Kikosi hicho kinakwenda kujiandaa na mchezo dhidi ya Rwanda utakaofanyika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza Jumamosi ya Julai 15, mwaka huu
Kipa Benno Kakolanya, Shaban Idd Chilunda na Mbaraka Yussuf hao wamepumzishwa kwa sababu ya majeraha waliyoyapata kwa nyakati tofauti wakiwa na Taifa Stars huko Afrika Kusini kwenye michuano ya Kombe la Castle la Cosafa – inayoandaliwa na Baraza la Soka kwa nchi za Kusini mwa Afrika.
Pia wachezaji wa kimataifa ambao hawahusiki na mechi za CHAN ambao ni Thomas Ulimwengu na Elius Maguri, hawakuongozana na timu.
Timu hiyo ilishika nafasi ya tatu katika michuano ya Castle Cosafa kwa kuishinda Lesotho kwa mapigo 4-2 ya penalti katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Moruleng nchini Afrika Kusini Ijumaa iliyopita.
Mwanza inajiandaa na mchezo dhidi ya Rwanda unaotarajiwa kufanyika Jumamosi Julai 15, mwaka huu kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN).
Timu hiyo ambayo kwa mwaka huu imecheza mechi tisa za kimataifa na kushinda mitano; kutoka sare miwili na kufungwa mmoja wa nusu fainali za Cosafa, itakuwa na kikosi cha wachezaji 24.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TAIFA STARS YAWEKA KAMBI MWANZA BILA ULIMWENGU NA MAGURI
TAIFA STARS YAWEKA KAMBI MWANZA BILA ULIMWENGU NA MAGURI
https://2.bp.blogspot.com/-mOb5y9qFFE4/WWT0nxVXIAI/AAAAAAAAcv4/glDD15E-o90T9mJRCJG21dKY6Xzf4q4HgCLcBGAs/s1600/xdownload-750x375.jpg.pagespeed.ic.CBQgn88wta.webp
https://2.bp.blogspot.com/-mOb5y9qFFE4/WWT0nxVXIAI/AAAAAAAAcv4/glDD15E-o90T9mJRCJG21dKY6Xzf4q4HgCLcBGAs/s72-c/xdownload-750x375.jpg.pagespeed.ic.CBQgn88wta.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/taifa-stars-yaweka-kambi-mwanza-bila.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/taifa-stars-yaweka-kambi-mwanza-bila.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy