TAZAMA HAPA LISTI YA NGOMA ZITAKAZOTUMIKA KWENYE GAME YA NBA 2K18

Kama wewe ni moja ya wachezaji wa game ya NBA 2K tangu mwanzo mpaka sasa hii mpya ya 2k18, Good Newz ni kwamba playlist ya wasanii ambao wamepata mashav ya ngoma zao kuchezwa imeshawekwa wazi.
Kupitia kurasa ya Instagram ya NBA2K wametoa listi ya ngoma ambazo zimepata shavu kutumiwa ndani ya game hiyo ambayo inatarajiwa kutolewa September 19th kwa watu wote na kwa wale ambao wanataka kupreorder mapema basi wanaweza kusubiria mpaka kufikia September 15th.
Wasanii kama Drake, Future, The Weeknd, Buster Rhymes, Kendrick Lamar na wengine kibao wamepata shavu hilo.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post