TAZAMA VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ- ENEKA (OFFICIAL VIDEO)

Ndani ya kipindi cha wiki mbili, mwanamuziki  Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania ameachi nyimbo tatu. Nyimbo alizotoa Diamond ni I Miss You, Fire pamoja na Eneka.
Hapa chini ni video ya wimbo huo wa tatu wa Eneka aliyotoa leo Julai 10, 2017.JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post