TCRA YAAGIZA MAKAMPUNI YA SIMU KUONDOA MATANGAZO KABLA YA MIITO YA SIMU

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeyataka makampuni ya simu kusitisha matangazo ya biashara yanayowekwa kabla ya miito ya simu ili kuwawezesha watumiaji wa simu kupata huduma ya mawasiliano kwa haraka zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Mitayakingi Kilaba amesema mamlaka hiyo haiwezi kukubali kuwepo na matangazo ya biashara kabla ya miito ya simu kutoka na kuchelewesha huduma ya mawasiliano ambapo amesisitiza tayari TCRA imeyata makampuni ya simu kukutana kuzungunzia kero hiyo.
-ITV
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post