TIGO YAAMURIWA KUWALIPA MABILIONI MWANA FA NA A.Y KWA KUVUNJA SHERIA

SHARE:

Mahakama Kuu ya Tanzania leo Julai 21, 2017 imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na Kampuni ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) kupinga kuwal...

Mahakama Kuu ya Tanzania leo Julai 21, 2017 imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na Kampuni ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) kupinga kuwalipa wasanii Ambwene Yesayah maarufu A.Y na Hamis Mwinjuma maarufu MwanaFA Tshs 2,185,000,000 kwa kutumia nyimbo zao bila idhini yaowala kuwa na mkataba.
Akizungumza na Swahili Times baada ya uamuzi huo wa mahakama, Wakili Albert Msando ambaye ndiye alikuwa anawawakilisha wasanii wao manguli wa muziki Tanzania amesema kwamba, huu ni ushindi muhimu kwa sanaa ya Tanzania.
“Mahakama imekubaliana na hoja zetu dhidi ya rufaa ya Tigo na kuitupilia mbali na kuamuru wasanii hao walipwe kiasi hicho kama kilivyokuwa kimeamuriwa mara moja,” alinukuliwa Msando akisema.
Awali, A.Y na Mwana FA walifungua kesi hiyo ya madai kwenye Mahakama ya Wilaya ya Ilala kupinga kitendo cha kampuni hiyo ya mawasiliano nchini kutumia nyimbo zao kwenye miito ya simu bila ya ridhaa yao au kuwa na mkataba.
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Juma Hassan alitoa hukumu ya kesi hiyo Aprili 11, akiwapaushindi wasanii hao ambapo iliiamuru Tigo kulipa Tsh 2,185,000,000 kama faini ya jumla kwa ukiukwaji wa sheria.
Kampuni ya Tigo ilikata rufaa Mahakama Kuu ikipinga uamuzi huo wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, ambapo leo mahakama kuu nayo imetupilia mbali rufaa hiyo.
Wasanii hao wawili wameweka historia katika Sheria ya Haki Miliki nchini kwani ndio wasanii wa kwanza wa muziki wa kizazi kipya kufungua kesi ya hakimiliki na kushinda.
Kwa upande wake Mwana FA aliyekuwa mahakamani hapo wakati hukumu hiyo ikitolewa alisema kwamba, fedha hizo walitakiwa walipwe tangu hukumu ilipotolewa na mahakama  ya wilaya, lakini ilishindikana kutokana na Tigo kukata rufaa mahakama kuu, na hivyo kutakiwa kusubiri maamuzi ya mahakama.
Aidha, alisema, kufuatia uamuzi wa mahakama kuu leo wa kutupilia mbali rufaa hiyo, wanatakiwa kulipwa fedha hizo katika kipindi cha muda mfupi.
Mafanikio haya makubwa katika kesi hii, huenda yakawachochea wasanii wengine ambapo kazi zao zinatumiwa kinyume na sheria kwenda mahakamani kudai haki yao. Lakini pia, uamuzi huu utaimarisha haki miliki za kazi za wasanii wa Tanzania.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TIGO YAAMURIWA KUWALIPA MABILIONI MWANA FA NA A.Y KWA KUVUNJA SHERIA
TIGO YAAMURIWA KUWALIPA MABILIONI MWANA FA NA A.Y KWA KUVUNJA SHERIA
https://1.bp.blogspot.com/-mYQaVTH-Qvw/WXH66WqEP_I/AAAAAAAAc4Y/92FJCeWmEm81Cqf1Dvi3ERnaJQAn71J7gCLcBGAs/s1600/xFA-AY-pic-750x375.jpg.pagespeed.ic.sT21vpBVEk.webp
https://1.bp.blogspot.com/-mYQaVTH-Qvw/WXH66WqEP_I/AAAAAAAAc4Y/92FJCeWmEm81Cqf1Dvi3ERnaJQAn71J7gCLcBGAs/s72-c/xFA-AY-pic-750x375.jpg.pagespeed.ic.sT21vpBVEk.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/tigo-yaamuriwa-kuwalipa-mabilioni-mwana.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/tigo-yaamuriwa-kuwalipa-mabilioni-mwana.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy