UCHAGUZI MKUU TFF WASIMAMISHWA

SHARE:

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) imesimamisha shughuli zote za uchaguzi kuanzia leo Jumapili hadi Julai 4 ambapo wat...

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) imesimamisha shughuli zote za uchaguzi kuanzia leo Jumapili hadi Julai 4 ambapo watakaa kikao cha kamati hiyo na kutoa maamuzi yatakayofikiwa kuhusu mchakato huo.
Sababu kubwa imeelezwa kuwa ni wajumbe wa kamati ya uchaguzi ya TFF kukataa majina ya baadhi ya wagombea kwa sababu binafsi. Revocatus Kuuli ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi amesema kutokuwa na maelewano kumemsababisha achukue uamuzi wa kuuandikia barua Kamati ya Utendaji akiiomba isitishe mchakato wa uchaguzi (kwakuwa kanuni zilizopo zinamruhusu kufanya hivyo) japo kumekuwa na taarifa kuwa Bwana Kuuli alitofautiana na wajumbe wengine wa Kamati ya Uchaguzi kuhusu hatma ya Rais wa Shirikisho hilo, Jamal Malinzi ambaye alichukua fomu kutaka kutetea kiti chake.
Mgogoro uliosababisha kutoelewana huku umetokana na wajumbe wanne kati ya watano kutaka jina la Rais wa sasa, Jamal Malinzi, lipitishwe bila kuwapo – jambo ambalo Revocatus Kuuli anasema si sahihi kikanuni. Kamati ya Uchaguzi ya TFF ina wajumbe watano. Kwa sababu hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa TFF Revocatus Kuuli akaiandikia barua Kamati ya Utendaji ya TFF ikitaka mchakato mzima wa uchaguzi usimamishwe na kuangalia kama Sheria za zoezi zima zinazingatiwa.
“Kikao chetu cha leo kimefanyika lakini hakijatoa maamuzi ya matatizo yaliyotokea jana.”
“Mimi kama Mwenyekiti wa Kamati nimechukua maamuzi ya dhamana niliyonayo. Nimemuandikia Katibu juu ya dhamira yangu kuangalia upya mwenendo mzima wa kamati. Wamekubaliana na maombi yangu na wamenipa barua kwamba wanaona sahihi mchakato mzima usimame mpaka matatizo yaliyotokea yatakapopelekwa kwenye Kamati ya Utendaji ambayo ndio yenye mamlaka ya mwisho.”
“Wamesema wataitisha kikao Julai 4, 2017 (Jumanne ijayo). Matatizo yalikuwa mengi, kuna watu wamekatakata majina kwa uonevu tu. Taratibu zinataka kupindishwa kwa sababu ya kutaka kupendelea watu fulani.”
“Mimi siwezi kuwa sehemu ya kamati ambayo ipo namna hii, kwa hiyo nashukuru barua yangu imepokelewa na imefanyiwa kazi kama nilivyokuwa nimetaraji.”
Julai 4, 2017 baada ya Kamati ya Utendaji kukaa na kujadili mgogoro huo uamuzi wa kuendelea au kutoendelea kwa mchakato wa uchaguzi huo utatolewa.
Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Salum Madadi amesema amekubali ombi la Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi kuhusu kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa TFF kutokana na kutofautiana kwa wajumbe wa kamati hiyo.
Madadi amesema Kamati ya Utendaji ya TFF itakutana Jumanne Julai 4, 2017 kwa ajili ya kulitolea uamuzi suala hilo.
“Kumetokea mgawanyiko ndani ya kamati yetu ya uchaguzi, Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ametuandikia barua na tumeshauriana naye kusitisha mchakato wa uchaguzi na tumeitisha kikao cha dharura cha kamati ya utendaji ya TFF tarehe 4 Julai, 2017 saa 7:00 mchana.”
“Baada ya kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji tutakuwa na cha kusema kuhusu mchakato wa uchaguzi,” amesema Madadi.
Sababu kubwa imeelezwa kuwa ni wajumbe wa kamati hiyo kukataa majina ya baadhi ya wagombea kwa sababu binafsi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: UCHAGUZI MKUU TFF WASIMAMISHWA
UCHAGUZI MKUU TFF WASIMAMISHWA
https://2.bp.blogspot.com/-KZrK0ypPS8k/WVnwXx5V4CI/AAAAAAAAcmY/_Mz0qJ-X2PMIYwYavnS92e6Rlnld2gu5wCLcBGAs/s1600/xKamati-TFF.-750x375.jpg.pagespeed.ic.5kFjALF9IE.webp
https://2.bp.blogspot.com/-KZrK0ypPS8k/WVnwXx5V4CI/AAAAAAAAcmY/_Mz0qJ-X2PMIYwYavnS92e6Rlnld2gu5wCLcBGAs/s72-c/xKamati-TFF.-750x375.jpg.pagespeed.ic.5kFjALF9IE.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/uchaguzi-mkuu-tff-wasimamishwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/uchaguzi-mkuu-tff-wasimamishwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy