UJERUMANI WAENDELEZA UBABE, NDIYO MABINGWA WA KOMBE LA MABARA

Unakumbuka mwaka 2014, Ujerumani ndiyo waliokuwa wafalme wa World Cup, sasa timu hiyo imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mabara.
Ujerumani wametwaa ubingwa huo kwa kuifunga Chile bao 1-0 katika fainali iliyofanyika kwenye Uwanja wa Krestovski, usiku wa Jumapili.
Chile ilifika fainali hiyo kwa kuifunga Ureno, ikiongozwa na Alexies Sanchez imeshindwa ubabe na mabingwa hao wa World Cup ambao walichecheza kikosi kilichokuwa na vijana wengi.
Nafasi ya tatu imeenda kwa Ureno wakati waliishika nafasi ya nne ni Mexico. Hivyo Ujerumani imeendeleza ubabe wa kutawala soka la Dunia.


JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post