VIDEO: BEN POL NA EBOTEKI WAUGEUZA USIKU WA SAID KAROLI KUWA USIKU WAO

MKALI wa ngoma za R&B/soul anayetamba na wimbo wake mpya wa Tatu aliyomshirikisha Darassa, Ben Pol amejikuta akidondokea kwenye penzi zito na msanii mwenzake wa Komedi, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ (19) ambaye hivi karibuni amekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa umahiri wake wa kuifanyia kweli tasnia hiyo ya vichekesho.
Wawili hao walinaswa usiku wa kuamkia leo wakiwa wameketi pamoja wakati wa Shoo ya Miaka 15 ya Saida Karoli iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Escape One, huku kukiwa na kila ishara kwamba kwa sasa wapo couple.
Wawili hao walikuwa na haya ya kuzungumza;
-GlobalTv
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post