VIDEO:RC RUVUMA AAGIZA KUTAIFISHWA KWA MAGARI YOTE YALIYOHUSIKA NA UBEBAJI WA MBAO NA MKAA KINYUME NA SHERIA.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt.Bilinith Mahenge atoa agizo kwa wiazara ya maliasili mkoa wa Ruvuma kuwachukilia hatua mara moja wale wote wanaohusika na ukataji miti ovyo na uchomaji mkaa ,rai hiyo ameitoa baada ya kukamata gari lilo beba mbao 400 zilizokuwa zinasafirishwa kunyume na sheria .HABARI KAMILI HII HAPA.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post