VIGEZO UNAVYOTAKIWA KUTIMIZA UPEWE KIBALI CHA KURUSHA DRONE TANZANIA

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo imetangaza kuwa mtu, taasisi au kampuni yoyote inayotaka kurusha ndege zisizo na rubani drones katika anga la Tanzania ni lazima kwanza apate kibali cha Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, pamoja na idhini ya mamlaka hiyo ambayo ndicho chombo chenye mamlaka ya kusimamia usafiri wa anga.
Tangazo hilo lilitolewa leo limeeleza kuwa ni kinyume na sheria kurusha ndege hizo pasi na kuwa na kibali cha kufanya hivyo.
Hapa chini ni fomu unayotakiwa kuijaza unapoomba kibali cha kurusha ndege hizo katika anga la Tanzania.
Aidha, TCAA imeeleza vitu mbalimbali mtu anavyotakiwa kuwasilisha wakati akiomba kibali hicho ambapo pia, wameelezea aina tofauti tofauti za ndege hizo zinazoweza kupewa kibali hicho.
Yasome maelezo hapa chini kuweza kufahamu zaidi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post