WEMA SEPETU : HII NI SHEPU YA MWENDOKASI SIO MCHINA

Msanii wa filamu nchini Tanzania Wema Sepetu amefunguka na kuwapa somo  wanaomdisi kuhusu shepu yake ya mwendo kasi.
Amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusema wanaomdisi kuhusu muonekano wake wanajipotezea muda kwani mungu ndo alivyomuumba.
“Naashangaa wanaonisema na muonekano wangu wa mwendo kasi ,Wanatakiwa watambue huu ni muonekano wangu halisi sio mchina hivyo waache maneno na vijembe visivyo na tija” alisema Wema.
Shepu  ya Wema ambaye amewahi kuwa mrembo wa Miss Tanzania 2006 amekuwa anazungumzwa na watu kwamba sio shepu yake halisi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post