YALIYOJIRI KISUTU KESI YA AGNESS MASOGANGE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Julai 25, 2017 imeshindwa kuanza kusikiliza kesi kuhusu kutumia dawa za kulevya inayomkabili video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ hadi Agosti 2, 2017 kutokana na wakili wa serikali kutokuwepo mahakamani kwa kuwa anauguliwa na mtoto .

Masogange anashtakiwa kwa makosa mawili ambayo ni kutumia dawa za kulevya aina ya Heroine na Oxazepam  na Heroine (Diacety Imophine).
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post