ZIDANE ALIA NA MORATA KUONDOKA AGOMA

SHARE:

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane. KOCHA wa  Real Madrid, Zinedine Zidane  amesema timu yake ina uhaba wa washambuliaji baada ya ...

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane.
KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema timu yake ina uhaba wa washambuliaji baada ya kumuuza Alvaro Morata kwenda Chelsea.
Kocha huyo amesema kuwa washam­buliaji waliopo kwenye timu hiyo hawatoshi, huku akisisitiza kuwa mshambuliaji bora wa timu hiyo Cristiano Ronaldo, atabaki kwenye kikosi hicho..
Morata ambaye alikuwa akiwindwa kwa nguvu kubwa na Manchester United aliuzwa kwenye kikosi cha Chelsea kwa kitita cha pauni milioni 60, zaidi ya shilingi bilioni 171.
Hata hivyo, bado timu hiyo inamwinda staa wa Monaco, Kylian Mbappe, ambaye anaweza kumaliza tatizo hilo kwenye timu hiyo.
“Alvaro ameondoka na sasa tuna tatizo kubwa la washambuliaji kwenye timu yetu.
Aliyekuwa mshambuliaji wa Real Madrid, Alvaro Morata.

“Nafikiri kila mmoja aliona jinsi alivyocheza msimu uliopita, al­ionyesha kiwango cha hali ya juu sana  na hakika tulitaki­wa kuwa naye msimu huu.
“Tutajaribu kuona ni kitu gani tunaweza kufanya kabla usajili huu hau­jafungwa lakini naamini kuwa tutamaliza vi­zuri,” alisema kocha huyo raia wa Ufaransa.
Alipoulizwa kuwa taarifa kuwa anataka kumsajili, Mbappe kutoka Monaco, alisema: “Ni jambo ambalo limejadiliwa klabuni, lakini siwezi kuzungumza sana kwa kuwa tunajadili wachezaji ambao wapo nasi kwa sasa hawa ndiyo tupo nao kwenye timu hii.”
Zidane ni kati ya makocha waliofanikiwa kwa muda mfupi akiwa amefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mi­simu miwili mfululizo, lakini pia msimu ulio­pita alifanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ZIDANE ALIA NA MORATA KUONDOKA AGOMA
ZIDANE ALIA NA MORATA KUONDOKA AGOMA
https://3.bp.blogspot.com/-pF-juoHSlGA/WXcy8gvRF3I/AAAAAAAAdBs/enakyNzwTaEbuVhIOnL-MzxEgHC-Wj_nwCLcBGAs/s1600/zidane.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-pF-juoHSlGA/WXcy8gvRF3I/AAAAAAAAdBs/enakyNzwTaEbuVhIOnL-MzxEgHC-Wj_nwCLcBGAs/s72-c/zidane.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/zidane-alia-na-morata-kuondoka-agoma.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/zidane-alia-na-morata-kuondoka-agoma.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy