ZIJUE HUDUMA SABA AMBAZO UNAZIPATA BILA KULIPIA NDANI YA NDEGE

SHARE:

Jarida la Reddit liliwauliza wahudumu wa mashirika mbalimbali ya ndege kuhusu huduma zipi ambazo abiria wanaweza kuwa wanapatiwa lakini h...

Jarida la Reddit liliwauliza wahudumu wa mashirika mbalimbali ya ndege kuhusu huduma zipi ambazo abiria wanaweza kuwa wanapatiwa lakini hawaziombi wawapo safarini.
Kuanzia pombe za bure mpaka dawa kama utaumwa ghafla, hivi ndio vitu nane ambavyo usisite kuomba ukiwa kwenye ndege kwa mara nyingine.
1. Chupa nzima ya soda
Wahudumu wa ndege huwa wanabania sana kutoa soda, kwa mara nyingi kukupa nusu tu ya chupa wakiichanganya na barafu ili ionekane nyingi lakini haitoshi kukata kiu. Kwahiyo mara nyingine ukifanyiwa hivi, agiza chupa nzima. Wahudumu wa ndege mara zote wanafanya utakachowaambia, na kama hawatakuwa na akiba ya kutosha, watajaza tena glasi yako.
2. Dawa na bandeji
Ingawa inategemea sana na taratibu za Shirika la Ndege husika, ndege nyingi zinakuwa na dawa za msingi kama vile za kutuliza maumivu na kutuliza kiungulia pamoja na bandeji. Hivi vyote hutolewa bure unapohitaji.
3. Chokoleti ya moto
Kama mbadala wa chai au kahawa, mashirika mengi yanakuwa na chaguo la kukupa chokoleti ya moto. Mashirika ya ndege ya Etihad, Virgin Atlantic, na Southwest Airlines ni baadhi tu ya yale yanayotia huduma hii hata kwa madaraja ya kati.
4. Pombe ya bure
Kwakuwa kimsingi nauli yako ya ndege siku hizi inajumuisha huduma zote utakazopatiwa, wengine hudhani hii inajumuisha na pombe pia. Hata hivyo, makampuni mengi ya ndege bado yanatoa pombe za bure mpaka sasa.
Kwa mfano Shirika la Ndege la Alaska bado linatoa huduma ya pombe za bure kwa baadhi ya safari zake; Shirika la Ndege la Marekani (US Airways) linatoa waini ya bure pamoja na chakula cha usiku kwa ndege zake zinazofanya safari za kimataifa; Mara nyingi hii inafanyika kwa ndege zinazofanya safari ndefu sana zinazochosha au kwa zile zinazofanya safari za kimataifa.
5. Mikoba yenye vifaa maalumu
Kwa ndege za masafa marefu, baadhi ya makampuni huweka kwenye akiba yao vitu kama vizuia sauti vya masikio, peni, chanuo za nywele na karata ambavyo utakopoomba utapatiwa mara moja. Ndege za kampuni ya Emirates ina mikoba yenye vifaa hivi ambapo wanaweka vifaa vya bure vya kunyoa, miswaki, soksi na karata kwa ajili ya kukufanya usichoke sana kwenye safari ndefu.
6. Kuongezewa vitafunwa
Vitafunwa kidogo vinavyotolewa kwa abiria kwenye ndege havitoshi na mara nyingi huwa havishibishi, vinakuacha ukiwa na njaa vile vile. Cha kufanya ni kuomba uongezewe tu — kama kuna vitakavyobakia baada ya abiria wote kuhudumiwa, wahudumu wa ndege mara zote huwa wanakuongezea kwa furaha kabisa ili mteja wao uridhike.
7. Kuangalia chumba cha marubani
Kwa kawaida chumba cha marubani kwenye ndege huwa kinafungwa muda wote na muda pekee wa abiria kumsikia rubani wenu ni mwanzo wa safari, mwisho wa safari au ikitokea hitilafu ya kiufundi au hali ya hewa ikiwa mbaya mnapokuwa angani. Lakini kama ukiwa unataka uone jinsi chumba hiki kilivyo, muombe mhudumu wa ndege na yeye ataomba ruhusa kwa rubani ili uweze kwenda kuangalia mitambo ya kuongozea ndege ilivyo kwenye chumba hicho maalumu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ZIJUE HUDUMA SABA AMBAZO UNAZIPATA BILA KULIPIA NDANI YA NDEGE
ZIJUE HUDUMA SABA AMBAZO UNAZIPATA BILA KULIPIA NDANI YA NDEGE
https://1.bp.blogspot.com/-lVw-iTsj1Ho/WWT3XybVupI/AAAAAAAAcwQ/QypWDq82YYAHQYb_hdoJYO4Dv9nBjcgOwCLcBGAs/s1600/x005E374800000258-2952359-The_golden_years_of_airline_travel_as_portrayed_in_the_film_Catc-m-78_1423844456173-634x375.jpg.pagespeed.ic.xX6zbjLDqp.webp
https://1.bp.blogspot.com/-lVw-iTsj1Ho/WWT3XybVupI/AAAAAAAAcwQ/QypWDq82YYAHQYb_hdoJYO4Dv9nBjcgOwCLcBGAs/s72-c/x005E374800000258-2952359-The_golden_years_of_airline_travel_as_portrayed_in_the_film_Catc-m-78_1423844456173-634x375.jpg.pagespeed.ic.xX6zbjLDqp.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/zijue-huduma-saba-ambazo-unazipata-bila.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/zijue-huduma-saba-ambazo-unazipata-bila.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy