ALIKIBA HAKAMATIKI ‘YOUTUBE’, HAKAMATIKI MTAANI

SHARE:

NAMBA hazidanganyi. Toka Alikiba aachie wimbo wake mpya wa Seduce Me, takribani siku mbili zilizopita, mapokezi yamekuwa makubwa na ndiye...

NAMBA hazidanganyi. Toka Alikiba aachie wimbo wake mpya wa Seduce Me, takribani siku mbili zilizopita, mapokezi yamekuwa makubwa na ndiye kinara wa ‘Youtube’ hivi sasa.
Siku saba zilizopita niliyatabiri haya katika makala iliyokwenda kwa jina la  MKWARA WA INSTA WA ALIKIBA UTAVUNJA UKIMYA?. Kiba kavunja ukimya wake kwa kishindo kikubwa.

MPAKA SASA VIDEO IMETAZAMWA MARA NGAPI?

Ina watazamaji wapatao milioni moja, laki nane na kumi na saba na mia tano arobaini na nne. Idadi hii inazidi kuongezeka na kusambaa zaidi kama moto wa mabua.

MTAANI HALI IKOJE?

Alikiba hakamatiki wimbo unapigwa kila kona. Mapokezi ni mazuri na watu wengi maarufu na wasio maarufu wanapongeza kazi ililyofanywa na Kiba.

ALIKIBA NDIYE MFALME?

Kutokana na ushindani mkubwa uliopo na kuwepo kwa ‘timu’ ngangari, huwa sitoi majibu ya swali hili abadani. Nawaachia wasomaji waseme wao katika nafasi ya kutoa maoni. Mara zote nilizowahi kusema nani ni mfalme nilijikuta matatani. Na katika mara zote hizo nilionewa, nikaporomoshewa matusi mazito ya nguoni!

MUZIKI WA TANZANIA UMEKUA?

Ndiyo. Hatupo tulipokuwa miaka kadhaa iliyopita. Hivi sasa tupo katika hatua ya juu kabisa. Vijana wafunge mkanda ili wazidi kuipeperusha bendera katika uwanja wa muziki, kitaifa na kimataifa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ALIKIBA HAKAMATIKI ‘YOUTUBE’, HAKAMATIKI MTAANI
ALIKIBA HAKAMATIKI ‘YOUTUBE’, HAKAMATIKI MTAANI
https://3.bp.blogspot.com/-5MbdcOBKrz4/WaUZSQ3Z4xI/AAAAAAAAeEw/x4sRfB9uBUgKq3RIWyNdY51vWXVPFm7kACLcBGAs/s1600/alikiba-1.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-5MbdcOBKrz4/WaUZSQ3Z4xI/AAAAAAAAeEw/x4sRfB9uBUgKq3RIWyNdY51vWXVPFm7kACLcBGAs/s72-c/alikiba-1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/alikiba-hakamatiki-youtube-hakamatiki.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/alikiba-hakamatiki-youtube-hakamatiki.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy