ALIYEKUWA M/KITI KAMATI YA MAKINIKIA ATEULIWA KUONGOZA KAMPUNI YA SERIKALI

SHARE:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Abdulkarim Hamis Mruma kuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Abdulkarim Hamis Mruma kuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Kuhifadhi Mafuta (TIPER).
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi, Emmanuel Buhohela uteuzi wa kiongozi huyo umeanza tarehe 17 Agosti, 2017.
Wengi watamkumbukwa Profesa Mruma kwa umaarufu wake aliojizolea wakati akiongoza kamati ya wataalamu waliofanya uchunguzi kwa lengo la kubaini kiwango cha madini kilichokuwemo katika makontena yenye mchanga wa madini yanayoshikiliwa maeneo mbalimbali hapa nchini.
Kamati hiyo iliyoteuliwa Machi 29 mwaka wakati wa kuwasilisha ripoti ya uchunguzi wake ilisema kwamba imebaini mambo mengi ikiwa ni pamoja na uwepo wa dhahabu kiasi kikubwa kwenye makinikia. Katika makontena 277 yaliyozuiliwa kulikuwa na tani saba za dhahabu yenye thamani zaidi ya shilingi Trilioni moja nukta moja nne saba.
Aidha, katika uchunguzi hiyo Kamati ilibaini uwepo wa madini ya shaba, fedha , sulphur pamoja na chuma ambayo yote kwa pamoja hayakuwa yakibainishwa wakati wa usafirishaji mchanga.
Kabla ya uteuzi huo mpya wa Agosti 17, Prof. Abdulkarim Hamis Mruma alikuwa ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ALIYEKUWA M/KITI KAMATI YA MAKINIKIA ATEULIWA KUONGOZA KAMPUNI YA SERIKALI
ALIYEKUWA M/KITI KAMATI YA MAKINIKIA ATEULIWA KUONGOZA KAMPUNI YA SERIKALI
https://2.bp.blogspot.com/-4dVd93LqDzE/WZc7qFP2WVI/AAAAAAAAdtQ/KbJRj-zVX_g-aysatRBbmGtceJF4lrntgCLcBGAs/s1600/x17-750x375.jpg.pagespeed.ic.wX3VYbu7CY.webp
https://2.bp.blogspot.com/-4dVd93LqDzE/WZc7qFP2WVI/AAAAAAAAdtQ/KbJRj-zVX_g-aysatRBbmGtceJF4lrntgCLcBGAs/s72-c/x17-750x375.jpg.pagespeed.ic.wX3VYbu7CY.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/aliyekuwa-mkiti-kamati-ya-makinikia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/aliyekuwa-mkiti-kamati-ya-makinikia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy