AMANDA: AFUNGUKA BWANA KUMPIGA STOP KUIGIZA

Mrembo mwenye shepu yake Bongo Movies, Amanda Posh.
MREMBO mwenye shepu yake Bongo Movies, Amanda Posh amepangua uvumi uliozagaa mtaani kuwa, amezuiwa kuigiza na mchumba wake kwa kusema si kweli.
Amanda alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa akipiga stori
Muonekano wa Shepu yake mubashara.
na mwanahabari wetu ambaye alimbananisha swali kuhusu ukimya wake kwenye gemu na madai hayo ya kuzuiwa kuigiza.
“Bwana hawezi kunizuia kuigiza sema nilikuwa tu bize na masuala yangu binafsi ya kibiashara ndio maana kwa zaidi mwaka sasa nimekuwa kimya kwenye sanaa, ila nitarudi tu maana sanaa ndio kila kitu kwangu,” alisema Amanda.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post