AMBER LULU AKIRI KUJICHUBUA

SHARE:

Video queen  aliyeikacha fani yake na kuzamia kwenye muziki wa  Bongo Fleva , Amber Lulu amekiri kuwa anajichubua rangi ya  ngozi yake  n...

Video queen aliyeikacha fani yake na kuzamia kwenye muziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu amekiri kuwa anajichubua rangi ya ngozi yake na kuwatolea mapovu wanaomsemasema kuhusu ishu hiyo.
Staa huyo anayetamba na ngoma yake ya Watakoma, aliyomshirikisha mkali wa Hip Hop BongoCountry Boy, amewatolea mapovu watu wenye tabia ya kuchukua picha zake za miaka ya nyuma na kuzifananisha na za sasa, kisha kumsema kuwa anajichubua.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, amejibu mapigo kama ifuatavyo:
Pale unapoona watu mapovu kibao ooh mweusi sasa na wewe si ujichubue. Au huna hela za kiduka cha usiku? Maisha ni mafupi sana.
“Mimi na feki, sasa mbona mnani-follow mna-like tena kuiga ndo msiseme, muulize tu Amber unatumia mkorogo gani, maana sio kwa mabadiliko hayo.
“Mimi napambana na tube zangu, pambana tu na wewe na hali yako. Kujichubua nijichubue mimi hasira upate wewe duh! Unazionea huruma pesa zangu wakati natafuta kwa jasho langu, kivipi.

“Na mwisho wake haimhusu mtu ngozi yangu pesa yangu mikono yangu naupaka vizuri maisha yangu.
Na hizo TBT ni za kitoto hapo nimekuwa mtu kabisa ngoja niwape kiboko kabisa sasa.

Siogopi kwa sababu ndiyo mimi ndipo nilipotokea na ndivyo nilivyo kuwa wewe.
Tena sasa hivi nataka wa Kiarabu niwe Mhindi kabisa Waarabu nicheki Dm nizidi mie,” ameandika Amber Lulu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: AMBER LULU AKIRI KUJICHUBUA
AMBER LULU AKIRI KUJICHUBUA
https://4.bp.blogspot.com/-W_xoCy8mRts/WZVV7B1VmCI/AAAAAAAAdmo/ujMU0hlKQ-g3lJVAw-TgA9Sl-5u0FHcQACLcBGAs/s1600/umberlu.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-W_xoCy8mRts/WZVV7B1VmCI/AAAAAAAAdmo/ujMU0hlKQ-g3lJVAw-TgA9Sl-5u0FHcQACLcBGAs/s72-c/umberlu.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/amber-lulu-akiri-kujichubua.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/amber-lulu-akiri-kujichubua.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy