AMBER LULU KANASA KWA BWANA MPYA, MAHABA NIUE LIVE!

SHARE:

Amber Lulu na bwana’ake kwenye mahaba mazito.. Muuza nyago ( video queen ) ambaye hivi sasa amejitosa kwenye Bongo Fleva,  Lulu Eugge...

Amber Lulu na bwana’ake kwenye mahaba mazito..
Muuza nyago (video queen) ambaye hivi sasa amejitosa kwenye Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ameamua kuwadorishia wenzake kwa kujishaua laivu na bwana’ke mpya.
Nusanusa ya Ijumaa Wikienda ilibaini kwamba, bwana huyo mpya wa Amber ni msanii wa Bongo Fleva anayekwenda kwa jina la Zulfika Hamisi ‘Jamwehe’ ambaye ilisemekana kwamba, ndiye aliyemshawishi mrembo huyo kufuta tatuu za mpenzi wake wa zamani, David Genz ‘Young D’.

Juu ya bwana’ke huyo mpya, Amber Lulu alilieleza Ijumaa Wikienda kuwa, sasa hivi ameamua kumuweka hadharani mpenzi wake bila kuhofia chochote kwani hata wale ‘nyakunyaku’ wa mabwana wa wenziye watagonga mwamba kwake.
Amber Lulu.
“Nampenda hadi natamani kujiteka, kiukweli hapa nimekufa hadi sijielewi. Ndiyo maana sioni aibu yoyote kujiachia naye na bado nitaonesha watu kuwa hata mimi najua kupenda,” alisema Amber Lulu anayekimbiza na ‘lijisongi’ lake la Watakoma.
Amber Lulu asiyeishiwa vimbwanga kama yule Amber Rose wa Marekani aliongeza kuwa, kwa sasa amejipanga kutulia tuli kwa jamaa huyo kwani ameona ni mwanaume mwenye malengo na mtazamo tofauti.

“Hapa mapepe yangu kwishnei kabisa na huwezi kuamini nipo tayari hata kwa ndoa,” alisema Amber Lulu. Kwa upande wake, jamaa huyo alifunguka kuwa, ana nia ya kweli na Amber Lulu na yupo tayari kwa lolote. “Ninampenda sana Amber (Lulu), ni mwanamke wa tofauti na wanavyomchukulia,” alisema Jamwehe.
Stori: Imelda Mtema, Dar

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: AMBER LULU KANASA KWA BWANA MPYA, MAHABA NIUE LIVE!
AMBER LULU KANASA KWA BWANA MPYA, MAHABA NIUE LIVE!
https://3.bp.blogspot.com/-lfq4uH2scCc/WZFoPV6zQ6I/AAAAAAAAdf8/bAVcawl3QY0jTKC8PaiGStxLxL7h9UAZQCLcBGAs/s1600/amber-lulu1.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-lfq4uH2scCc/WZFoPV6zQ6I/AAAAAAAAdf8/bAVcawl3QY0jTKC8PaiGStxLxL7h9UAZQCLcBGAs/s72-c/amber-lulu1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/amber-lulu-kanasa-kwa-bwana-mpya-mahaba.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/amber-lulu-kanasa-kwa-bwana-mpya-mahaba.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy