BARNABA AJUTIA KUJICHORA TATTOO ‘HAZINA MAANA YOYOTE TENA

Barnaba hana mpango wa kujichora tena tattoo mwilini. Ameimbia Zote kali blog kuwa haoni tena umuhimu wake.
“Kwa sasa mimi sina mpango kabisa wa kuchora tattoo tena,” amesema.
“Na ki ukweli hazina maana yeyote kwangu, kwangu naona kama fashion tu ingawa kuna wengine wanakuwa na maana yao na kuna wakati pia nakuwa najuta  na kuchukia pia hizi tattoo,” ameongeza Barnaba.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post