BELLE 9: NAJIAMINI KUACHIA WIMBO MPYA HATA KAMA KUNA KITU KINAENDELEA KWENYE GAME

Belle 9 amesema hakuna kitu kinachoweza kumzuia kuachia wimbo wake hata kama kwenye muziki kuna kitu kikubwa kinaendelea. Muimbaji huyo toka Morogoro ameiambia Zote kali kuwa anajiamini.
“Muda wote kwangu ni sahihi kwa kutoa ngoma haijalishi kuna kitu gani kinaendelea kwenye game wala kwenye soko iwe ndani au nje ya nchi,” amesema.
“Mimi nikiwa na ngoma natoa tu kwa sababu muziki ni kitu ambacho  hakiingiliani  na kitu chochote, yaani kwa mimi mtazamo wangu. So kwa mashabiki zangu wala wasidhani mi nitakuja kushindwa kutoa kitu eti kwasababu ya kitu fulani, No,” amesisitiza.
Wimbo wa mwisho kutoka Belle ulikuwa Mfalme.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post