BREAKING: PICHA ZA OFISI YA WAKILI WA TUNDU LISSU ILIYOUNGUA MOTO USIKU WA LEO


Ofisi ya IMMMA House inazomilikiwa na wanasheria kadhaa akiwepo Fatma Karume zimeungua moto usiku wa kiamkia leo ambapo chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.
Wakili Fatma Karume kwa siku za hivi karibuni alisikika sana alipokuwa akimtetea Tundu Lissu mara baada ya kukamatwa uwanja wa ndege alipokuwa akisafiri kwenda Rwanda.
Taarifa za awali ambazo hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi kutoka kwa majirani wa eneo hilo wamedai kuwa walisikia mlio mithili ya bomu wakati wa usiku.
Tunaendelea kufuatili tukio hilo kufahamu chanzo halisi cha moto huo ni nini.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post