DAYNA NYANGE ATOA SABABU ZA KUMTUMIA MODEL WA NJE KWENYE VIDEO YAKE

Dayna Nyange amezungumzia sababu zilizomfanya kumtumia model wa kiume kwenye video ya wimbo mpya, Chovya. Dayna ameiambia Dizzim Online kuwa alihitaji mwananume ambae ataenjoy zaidi kufanya naye kazi.
“Kufanya video na video king wa nje haina maana kwamba hapa nyumbani hamna wakaka hapana, ila nilitaka nifanye kitu na mtu ambaye ataleta maana ya nyimbo. Nyimbo inamsifia mtu, nyimbo inaonesha mtu uliyekuwa naye anajivunia kufanya na wewe so hicho ndio kikubwa nilichokuwa nakitaka,” amesema.
“Mwisho wa siku nikakutana na mdogo wake Drake tukafanya kazi na akaitendea haki.”
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post