DULLY SYKES: SIGANGI NJAA

SHARE:

Dully Sykes ‘Mr Misifa’. MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes ‘Mr Misifa’ amejinasibu kuwa anafanya sanaa hiyo kwa vile i...

Dully Sykes ‘Mr Misifa’.

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes ‘Mr Misifa’ amejinasibu kuwa anafanya sanaa hiyo kwa vile iko ndani ya damu yake na si kuganga njaa kama wengine wanavyofanya. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, baba huyo wa watoto wanne, alisema familia yake yote imekuwa ikifanya muziki, kuanzia babu yake hadi baba yake.

“Mimi tangu babu yangu Mzee Wahed Abdul Sykes alikuwa mwanamuziki na Mwenyekiti wa chama cha muziki wa dansi Tanzania baba yangu pia alikuwa mwanamuziki, kwa hiyo Watanzania wengi wanafahamu kuwa mimi siyo mganga njaa, ni mwanamuziki mahiri mwenye uwezo wa kuimba na kupangilia mashairi. Alisema anachofahamu ni kwamba muziki umempa heshima, lakini siyo jina kwa
sababu familia yao imepata jina kubwa kupitia muziki tangu zamani.

“Siwezi kusema muziki ndiyo umenipa jina, hapa jina hili lilikuwepo tangu enzi hizo za babu yangu akitamba, lakini nasema muziki ndiyo umenifikisha hapa nilipo, hivi sasa nina studio yangu pale Tabata Kimanga nimeipa jina la 4.12,” alisema.

Aliongeza kuwa pamoja na kutoa vibao vingi katika muziki wake, lakini Wimbo wa Julieta ndiyo anaoukubali zaidi na akikisikia kibao hicho kinagongwa katika redio au chombo chochote kile lazima asimame akisikilize.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DULLY SYKES: SIGANGI NJAA
DULLY SYKES: SIGANGI NJAA
https://4.bp.blogspot.com/-SHGk_npOe9w/WaZoZnkqzaI/AAAAAAAAeH4/Ii3auZwtQ-8pglvZLNe_X8dwoyi0w0KlwCLcBGAs/s1600/dully-Sykes.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-SHGk_npOe9w/WaZoZnkqzaI/AAAAAAAAeH4/Ii3auZwtQ-8pglvZLNe_X8dwoyi0w0KlwCLcBGAs/s72-c/dully-Sykes.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/dully-sykes-sigangi-njaa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/dully-sykes-sigangi-njaa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy