HAJI MANARA: MECHI YA YANGA, TUTAANZISHA WACHEZAJI TISA UWANJANI

SHARE:

Kuelekea mchezo dhidi ya Yanga, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa anatamani mchezo huo dhidi ya wapinzani wao hao wa jadi u...

Kuelekea mchezo dhidi ya Yanga, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa anatamani mchezo huo dhidi ya wapinzani wao hao wa jadi uchezwe hata kesho, lakini kuna kubwa zaidi ya hilo amelitamka.
Simba na Yanga zinatarajiwa kukutana Agosti 23, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii ambapo unazikutanisha timu bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara na bingwa wa Kombe la FA ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa msimu wa 2017/18.
Akizungumza katika mahojiano asubuhi ya jana jijini Dar es Salaam, Manara amesema Simba ipo tayari na kikosi chao kipo fiti kuelekea mchezo huo kiasi kwamba wanajiandaa kuanzisha kikosi cha wachezaji tisa uwanjani badala ya 11.
Manara amesema raha ya mchezo huo ni presha iliyopo lakini mchezo huo ukimalizika kila mtu atakuwa kimya kwa kuwa kwa sasa kuna kelele nyingi mitandaoni.
Akizungumza zaidi Manara alisema: “Ingawa kanuni zinaruhusu kuwa na wachezaji 9 lakini tutawaomba TFF waturuhusu kuanzisha wachezaji tisa hivi, ili kuwarahisishia na mambo kama ya kadi nyekundu, nafikiri tutawaandikia barua kuwaomba hilo.”

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: HAJI MANARA: MECHI YA YANGA, TUTAANZISHA WACHEZAJI TISA UWANJANI
HAJI MANARA: MECHI YA YANGA, TUTAANZISHA WACHEZAJI TISA UWANJANI
https://2.bp.blogspot.com/-akA2Zmqhomo/WYHQj4RVDeI/AAAAAAAAdQM/XrwqqN0AnL4kp8oon7TUmEDvZ8zNA7IugCLcBGAs/s1600/Manara-2.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-akA2Zmqhomo/WYHQj4RVDeI/AAAAAAAAdQM/XrwqqN0AnL4kp8oon7TUmEDvZ8zNA7IugCLcBGAs/s72-c/Manara-2.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/haji-manara-mechi-ya-yanga-tutaanzisha.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/haji-manara-mechi-ya-yanga-tutaanzisha.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy