HALMASHAURI ZAAGIZWA KUPIMA ARDHI ILI KUEPUKA MIGOGORO INAYOIBUKA

SHARE:

Na. Hassan Mabuye Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla ameziagiza halmashauri zote nchini kupima ma...

Na. Hassan Mabuye
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla ameziagiza halmashauri zote nchini kupima maeneo yao na kuyapangia matumizi ya makazi na huduma za jamii ili kuepuka migogoro inayoibuka kila siku.

Mabula ametoa agizo hilo wakati alipofanya ziara mkoani Simiyu na kutembelea eneo linalojengwa mradi wa maji uliyopo Halmashauri ya Busega Mkoani Simiyu.

Eneo hilo lilichukuliwa na halmashauri hiyo baada ya mmiliki wake wa awali kujimilikisha kinyume cha sheria na kwa kutumia njia za kidanganyifu ya kughushi uraia na kujipatia ardhi hiyo.

Mwanzoni mwaka huu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwa mkoani Mwanza alifuta hati za viwanja 15 vilivyokuwa vinamilikiwa na Hermant Patel na kurejesha umiliki wake kwa serikali.

Miongoni mwa maeneo aliyonyang’ang’anya Hermant Patel ni eneo hilo linalojengwa mradi wa maji baada ya serikali kuamua kulirudisha Serikalini ambapo Halmashauri ya Busega iliamua kulipangia matumizi hayo.

Aidha, Naibu Waziri amezitaka halmashauri zote nchini kufuata mfano wa Halmashauri ya Busega kwa kuyapima maeneo ambayo yamechukuliwa kutoka kwa wamiliki ambao wameghushi nyaraka na kuzipangia matumizi.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla anaendelea na ziara yake ya mikoa ya kanda ya ziwa ambapo anataria kufanya ziara Mkoani Geita na Shinyanga mara baada ya kumaliza ziara zake mkoani Simiyu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: HALMASHAURI ZAAGIZWA KUPIMA ARDHI ILI KUEPUKA MIGOGORO INAYOIBUKA
HALMASHAURI ZAAGIZWA KUPIMA ARDHI ILI KUEPUKA MIGOGORO INAYOIBUKA
https://3.bp.blogspot.com/-32y309RR7Ns/WaA3Px7LOoI/AAAAAAAAd-Q/gekeoBf8rUMLFeek9PUQtqHTHP4ghwA7ACLcBGAs/s1600/xIMG_20170824_103552-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.e2-UToIwH_.webp
https://3.bp.blogspot.com/-32y309RR7Ns/WaA3Px7LOoI/AAAAAAAAd-Q/gekeoBf8rUMLFeek9PUQtqHTHP4ghwA7ACLcBGAs/s72-c/xIMG_20170824_103552-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.e2-UToIwH_.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/halmashauri-zaagizwa-kupima-ardhi-ili.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/halmashauri-zaagizwa-kupima-ardhi-ili.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy