HIZI NDIO VIEWS ZA ZILIPENDWA NDANI YA SAA 24!

Video ya wimbo Zilipendwa ulioikutanisha timu nzima ya WCB, imevutia views 554,000+ ndani ya saa 24 tangu iwekwe Youtube
.

Ngoma hiyo iliyotayarishwa na Lizer na iliyotoka kwa kushtukiza Ijumaa hii, imeimbwa na Diamond, Rich Mavoko, Ray Vanny, Harmonize, Lava Lava, Mboso na Queen Darleen.
Ni ngoma ya kwanza iliyowakutanisha wasanii wote wa label ya WCB.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post