JANJARO AANIKA MAISHA YAKE, KUONJA PENZI LA UWOYA!

SHARE:

Janjalo. MOJA kati ya headline zilizosumbua kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni uhusiano wa kimapenzi kati ya chalii wa Ngare...

Janjalo.
MOJA kati ya headline zilizosumbua kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni uhusiano wa kimapenzi kati ya chalii wa Ngarenaro-Arusha, Abdulaziz Chende ‘Dongo Janja’ na staa wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya.

Umri wa Dogo Janja ambaye pia utakuwa hujakosea kama utamuita Janjaro umeshapita miaka 18. Ana uhuru wa kuingia kwenye masuala ya uhusiano, lakini suala la msingi ni kumpata mtu sahihi. Je, anatembea na mtu sahihi? Anaweza kusubiri umri usogee zaidi ndipo aingie kwenye masuala ya uhusiano? Jibu analo mwenyewe bwa’mdogo huyu aliyejizoelea umaarufu kwa ngoma kali kama Ukivaaje Unapendeza, My Life, Kidebe na nyingine kibao.

Dogo Janja au Janjaro ni miongoni mwa wasanii wenye umri mdogo ambao wameutendea haki muziki wa Hip Hop na amefanikiwa kuwa kwenye headline karibu kila siku. Janjaro, kwenye makala haya, amezungumzia ishu mbalimbali zinazohusu maisha yake ya kimuziki na uhusiano. Twende pamoja;

MCHANGO WA MADEE KATIKA MUZIKI WAKE

“Madee ana mchango wa asilimia 99 kwenye mabadiliko yangu ya kimuziki. Amekuwa siyo tu msimamizi wangu, amekuwa mtu mwenye uchungu na muziki wangu yaani mpaka ukiona wimbo unatoka, ujue tumebishana sana na yeye atakayoamua ndiyo inatoka na mimi huwa naamini sana sikio lake.

KUHUSU MAFANIKIO NA JINA LAKE

“Ukuaji wa jina na kipato Kibongobongo bado na sasa hivi siwezi kuzungumzia mafanikio kwa sababu bado nayatafuta kwa hiyo ninachoshukuru ni kwamba kidogo ninachokipata kinanitosha. Kinanifanyafanya nisichoreke na ninaishi maisha yangu kwa usawa wangu.

PLANI ZAKE KUHUSU FAMILIA

“Kwa ndoa bado ila nahisi nitapata mtoto kwanza before (kabla) ya ndoa. Ila nitazaa na mtu ambaye nimeona future (malengo ya muda mrefu) kwake.

WIMBO WA MY LIFE NA ASILIMIA ZAKE KATIKA MAISHA YAKE
“Nilichokiimba katika wimbo wangu wa My Life kina ukweli halisi katika maisha yangu kwa asilimia kama 75 hivi, hivyo ukiusikiliza wimbo huo utapata asilimia 75 ya maisha yangu halisi.

KWA NINI AMEBADILIKA KUTOKA HIPHIPO KWENDA REGAE?

“Muziki ni mabadiliko. Popote pale ulipo ukihitaji kufanikiwa lazima kuwe na juhudi za kujiongeza na mabadiliko vinginevyo utabaki kuwa nyuma kila siku.


Irene Uwoya.

MPANGO WA KUFANYA SINGELI…

“Sijafikiria bado kufanya singeli. Siwezi kupita mlango ambao umeshatumika. Mimi nakuja kuwasapraizi watu na kitu kngine kabisa. Mashabiki wangu nataka wasinizoee. Yaani nakuja na kitu tofauti. Siwezi kuja na singeli ambayo wameshafanya kaka zangu akina Prof Jay na wengineo.

IDEA YA UKIVAAJE UNAPENDEZA…

“Ile idea bwana ilikuja baada ya kugundua mimi ninapendeza kuliko wasanii wote wa kiume. Nilipoona hivyo nikaona kumbe ninaweza kuandikia mashairi. Nikafanya hivyo na ndiyo ngoma ikatoka na kama ulivyoona imependwa na wengi.

MIPANGO YA KUACHIA NGOMA HIVI KARIBUNI VIPI?

“Tuna utaratibu wa kuachia ngoma mimi na bro Madee. Hivyo mimi ni muda wa kumuachia Madee. Kwa sasa ni zamu ya Madee. Ameachia wimbo mmoja mkali sana Ijumaa hii (iliyopita) unaitwa Sikira ambao amefanya na Tekno kutoka Nigeria.

UKWELI KUHUSU KUTOKA NA UWOYA

“Hamna ukweli wowote pale kati yangu mimi na Uwoya. Uwoya yule ninaheshimiana naye sana, siwezi kufanya kitu kama hicho hata siku moja. Hayo mnayoyasikia yakiendelea kwenye mitandao ya kijamii ni uzushi tu. Wanaendeleza tu maneno niliyowahi kusema kuwa ninamkubali kinoma…”

WANA PROJECT YOYOTE NA UWOYA?

“Yaani kama nilivyokwambia, Uwoya ni mwana tu ambaye ninaheshimiana naye, kamwe siwezi kufanya kitu cha ajabu na hata yeye mwenyewe anajua ni jinsi gani ninamheshimu.”

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: JANJARO AANIKA MAISHA YAKE, KUONJA PENZI LA UWOYA!
JANJARO AANIKA MAISHA YAKE, KUONJA PENZI LA UWOYA!
https://1.bp.blogspot.com/-Kdygrz0Pty0/WZVPs55dfbI/AAAAAAAAdmE/Qiu82HHJFlQjS11jeiUJfovfSeF2NC_XQCLcBGAs/s320/ad560347683bcce4fbeb81f5555158f4.jpeg.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-Kdygrz0Pty0/WZVPs55dfbI/AAAAAAAAdmE/Qiu82HHJFlQjS11jeiUJfovfSeF2NC_XQCLcBGAs/s72-c/ad560347683bcce4fbeb81f5555158f4.jpeg.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/janjaro-aanika-maisha-yake-kuonja-penzi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/janjaro-aanika-maisha-yake-kuonja-penzi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy