JENNIFER WA KANUMBA ACHAFUKA MITANDAONI

SHARE:

Muigizaji Jennifer. MTOTO ‘mtukutu’ aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia filamu za marehemu Kanumba, Hanifa Daudi amekumbwa na kashfa...

Muigizaji Jennifer.
MTOTO ‘mtukutu’ aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia filamu za marehemu Kanumba, Hanifa Daudi amekumbwa na kashfa ya kitapeli, kufuatia watu wasiojulikana kufungua akaunti feki ya jina lake kwenye Mtandao wa Facebook na Instagram na kuanza kuomba pesa kwa watu mbalimbali.
Kanumba na Jenifer.

Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya watu wamekuwa wakimlalamikia  kwa tabia ya kuomba pesa kupitia mitandao ya kijamii, jambo ambalo liliwashangaza wengi. “Kuna watu wanatumia jina la Jennifer kwenye mitandao kutapeli hivyo wameondoa lawama kwa muigizaji huyo na badala yake wameanza kumkingia kifua, tofauti na zamani ambapo walidhani ni yeye kweli anayefanya utapeli huo, mwenyewe maskini amekuwa ni mtu wa kulia na kuumia kwa kashfa hiyo,” alisema mtoa habari wetu.

JENNIFER
Marehemu Steven Kanumba enzi za uhai wake.
Mwandishi wetu alizungumza na Jennifer na kusema: “Naumia sana jamani, hebu nisaidieni, mimi sina akaunti kwenye Facebook, ni juzi tu mama yangu alinishauri nifungue akaunti ya Instagram ili kujitofautisha na hao matapeli, lakini sina simu na hiyo akaunti siitumii niko huku Tanga masomoni, wanatumia jina langu kutapeli, eti wanajiita Hanifa Jennifer Kanumba na wanaposti picha zangu, kweli sijui wanazitoa wapi, naumia jamani aah.”

NA: BRIGHTON MASALU

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: JENNIFER WA KANUMBA ACHAFUKA MITANDAONI
JENNIFER WA KANUMBA ACHAFUKA MITANDAONI
https://2.bp.blogspot.com/-sdrcSx4k40k/WZVPOMdlDAI/AAAAAAAAdmA/mh-ygE61B34niNMmKeQugBcaxXG7AsRMACLcBGAs/s1600/jenny-768x755.png
https://2.bp.blogspot.com/-sdrcSx4k40k/WZVPOMdlDAI/AAAAAAAAdmA/mh-ygE61B34niNMmKeQugBcaxXG7AsRMACLcBGAs/s72-c/jenny-768x755.png
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/jennifer-wa-kanumba-achafuka-mitandaoni.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/jennifer-wa-kanumba-achafuka-mitandaoni.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy