KAMANDA WA POLISI ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CCM WA KATA

SHARE:

Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP), Absolom Mwakyoma amechaguliwa kuwa Mwenyeki...

Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP), Absolom Mwakyoma amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Mfumuni, Manispaa ya Moshi baada ya kupita bila kupingwa.
Mwakyoma ambaye pia amewahuku kuwa Kamanda wa Polisi katika mikoa ya Pwani na Mara kwa nyakati tofauti, alishinda kiti hicho baada ya kukosa mpinzani na hivyo wajumbe wote 25 waliokuwepo kumpigia kura ya Ndiyo.
Akizungumzia tukio hilo, Katibu wa CCM Manispaa ya Moshi, Sixtus Mosha alisema kuwa Mwakyomba alichukua fomu mwenyewe bila kupingwa na hivyo kumuwezesha kupata ushindi huo mkubwa.
“Mwakyoma alijitokeza peke yake kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi hiyo Agosti 3 na kisha akachaguliwa kwa kupita bila kupingwa Agosti 6, mwaka huu.”
“Hakuna namna nyingine zaidi ya kuwapa ushirikiano wa kukijenga chama chetu hawa viongozi waliochaguliwa, na siyo kujenga makundi au majungu. Tunataka wawe mstari wa mbele kumuunga mkono Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk. John Magufuli kutekeleza ilani sawa sawa,” amesema Sixtus.
Viongozi wa CCM katika manispaa hiyo waliwataka wanachama wao kuhakikisha wanawachagu wagombea wa CCM ili, kwanza, waendane na kasi ya Rais Dkt Magufuli, lakini pili, kurahisisha ushindi katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Mwakyoma alikuwa RPC wa Mkoa wa Kilimanjaro, kati ya mwaka 2011 hadi 2012 akichukua nafasi ya Lukas Ng’hoboko aliyekuwa mtangulizi wake katika kiti hicho kati ya mwaka 2006 hadi 2011.
Baadae, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) wakati huo, Said Mwema akafanya mabadiliko na RPC Kilimanjaro, SACP Absalom Mwakyoma ambaye akahamishiwa mkoani Mara akibadilishana na RPC Mara, ACP Robert Boaz ambaye alihamishiwa mkoa wa Kilimanjaro.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KAMANDA WA POLISI ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CCM WA KATA
KAMANDA WA POLISI ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CCM WA KATA
https://2.bp.blogspot.com/-PghmS6AjAP4/WYnFtFxOAnI/AAAAAAAAdUU/H7Ctdyj2cgcwZf-3H4P90-u4HYPuMzyFQCLcBGAs/s1600/10.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-PghmS6AjAP4/WYnFtFxOAnI/AAAAAAAAdUU/H7Ctdyj2cgcwZf-3H4P90-u4HYPuMzyFQCLcBGAs/s72-c/10.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/kamanda-wa-polisi-achaguliwa-kuwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/kamanda-wa-polisi-achaguliwa-kuwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy