MAAJABU : DUNIA ILIPOFIKA SASA HATARI FAHAMU MIDOLI ILIYOTENGENEVYA KWAAJILI YA HUDUMA YA NGONO

Hapa ndipo dunia imefikia katika kutenda.

Huyu sio mtu, bali ni mdoll aliyepewa jina la Harmony V2. Ameundwa na uwezo wa kiufahamu wa bandia. Anaongea na anaweza kufanya kwa hisia mambo mengi. Ameundwa kwaajili ya kuuzwa kwa wanaume kufanikisha ngono kupitia midoll ya namna hizi(Sex Doll). Tunaweza jifunza mambo haya ya kushangaza na kutisha na kuashiria nyakati mbaya zaidi kwa wanadamu.


JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post