MAJINA YA WALIMU WALIOBADILISHIWA VITUO VYA KAZI

Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa orodha ya majina 18 ya walimu waliobadilishiwa vituo vyao vya kazi kutokana na sababu mbalimbali.
Mabadiliko hayo yametokana na orodha iliyotolewa awali na TAMISEMI ambapo walimu wa masomo ya sayansi walipangiwa vituo vya kufanyia kazi.
Hapa chini ni majina ya walimu waliobadilishiwa vituo.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post