MANCHESTER UNITED YAENDELEA KUGAWA DOZI TU, YATUPIA 4-0

Pogba na Lukaku wakishangilia kwa pamoja baada ya kuwatupia wapinzani wao siku ya jana.

Wakati presha ya mchezo wa Simba na Yanga ikiendelea kuwa kubwa, Yanga wamemzungumzia mchezaji wao mpya kikosini hapo Papy Kabamba Tshishimbi.
Kocha wa Swansea, Paul Clement akisalimiana na Kocha wa Man Utd, Jose Mourinho.
Tshishimbi alitua Dar, juzi akitokea DR Congo ambapo ni nyumbani kwao, kisha moja kwa moja akaelekea Pemba ambapo Yanga imeweka kambi kujiandaa kwa ajili ya mchezo huo dhidi ya watani wao wa jadi kwa ajili ya kuanza mazoezi.
Wachezaji wa Man wakipongezana kwa pamoja.
Akizungumzia mchezaji huyo, Dismass Ten ambaye ni Ofisa Habari wa Yanga, alisema baada ya kutua kiungo huyo anayetajwa kuwa na uwezo mkubwa wa kukaba ameanza mazoezi lakini alilazimika kufanya mazoezi ya peke yake kwa kuwa wenzake walishaanza mazoezi muda kidogo.
Pogpa akishangilia baada ya kutupia.
Ten amesema hatua hiyo ya kufanya mazoezi peke yake chini ya uangalizi maalum ni kutokana na kuchelewa kujiunga na wenzake kambini, hivyo atapewa program maalum kwa muda kabla ya kuanza mazoezi ya pamoja na wenzake.
Kuhusu kucheza au kutocheza katika mchezo ujao dhidi ya Simba, Ten alisema hilo ni suala la mwalimu na benchi lake la ufundi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post