MANJI AMKATAA WAKILI WA CHADEMA MBELE YA MAHAKAMA

SHARE:

Diwani wa Mbagala kwa tiketi ya CCM, Yusuf Manji jana alisema mbele ya mahakama kuwa hataki kuwakilishwa na Wakili Peter Kibatala na kuta...

Diwani wa Mbagala kwa tiketi ya CCM, Yusuf Manji jana alisema mbele ya mahakama kuwa hataki kuwakilishwa na Wakili Peter Kibatala na kutaka abadilishe wakili kwa kile alichosema kuwa ni kutofautiana kwa itikadi za kisiasa.
Manji ambaye ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa nchini Tanzania aliiambia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kwa maombi yake ya dhamana ambapo alishangaa yeye kama Diwani wa CCM kuwakilishwa na wakili ambaye ni mwanachama wa CHADEMA.
Manji anayekabiliwa na tuhuma za uhujumu uchumi, baada ya kumkataa wakili huyo aliwatambulisha mawakili wengine wapya wawili ambao watamuwakilisha.
Aidha, Mahakama Kuu jana ilitupilia mbali maombi ya dhamana ya Manji na kuanza mchakato wa kuipeleka kesi hiyo katika Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa baada ya Manji kukubali pingamizi la Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuomba kuyaondoa mahakamani maombi ya dhamana.
Mmoja wa mawakili wapya wanaomuwakilisha Manji, Alex Mgongolwa alisema walikubali kuondolewa kwa maombi hayo mahakamani hapo ili kupelekwa katika Mahakama ya Uhujumu Uchumi na Rushwa maarufu Mahakama ya Mafisadi  ambayo ndiyo yenye mamlaka ya kusikiliza maombi yao.
Manji anasota rumande kwa siku zaidi ya 30 sasa kutokana na kunyimwa dhamana kila anapofika mahakamani.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MANJI AMKATAA WAKILI WA CHADEMA MBELE YA MAHAKAMA
MANJI AMKATAA WAKILI WA CHADEMA MBELE YA MAHAKAMA
https://4.bp.blogspot.com/-nCvOxgZxCmU/WYnFf3gEC-I/AAAAAAAAdUQ/Tc9ao5JIBQUQu34wUdQ0FFZXXrpPrV0TQCLcBGAs/s1600/xManji-ndevu-750x375.jpg.pagespeed.ic.hUQj1U_B1s.webp
https://4.bp.blogspot.com/-nCvOxgZxCmU/WYnFf3gEC-I/AAAAAAAAdUQ/Tc9ao5JIBQUQu34wUdQ0FFZXXrpPrV0TQCLcBGAs/s72-c/xManji-ndevu-750x375.jpg.pagespeed.ic.hUQj1U_B1s.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/manji-amkataa-wakili-wa-chadema-mbele.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/manji-amkataa-wakili-wa-chadema-mbele.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy