MAUA SAMA: UKICHANGANYA MUZIKI NA MAPENZI LAZIMA UFELI

Maua Sama amechat na Zote kali Blog kuhusu madhara ya msanii kuchanganya mapenzi na muziki kwa wakati mmoja.
“Yaani kiukweli kabisa bila kupindisha ukiendekeza mapenzi na kazi lazima upande wa kazi utaAthirika kwa kiasi kikubwa sana,” amesema Maua. “Tufahamu kila kitu kina sehemu yake na kila kitu kina nafasi yake, tukiwa kazini tufanye kazi na kwa upande wangu siwezi kuendekeza mapenzi hata siku moja,” ameongeza.
Kwa upande mwingine Maua Sama amewaomba mashabiki waipe shavu ngoma yake mpya Katukatu aliyoitoa hivi karibuni.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post