MKAKATI ULIVYOANDALIWA KUMNG’OA MAALIM SEIF CUF WASHTUKIWA

SHARE:

Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Wananchi (JUKECUF) imesema kuwa kuna mkakati wa chini kwa chini ndani ya upande wa Prof. Lipumba wa kuan...

Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Wananchi (JUKECUF) imesema kuwa kuna mkakati wa chini kwa chini ndani ya upande wa Prof. Lipumba wa kuandaa mkutano mkuu iliouita ni bandia kwa ajili ya kumvua uanchama, Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Shariff Hamad.
Hayo yalisemwa jana na Mwenyekiti wa JUKECUF, Fatma Ferej alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo Vuga mjini Unguja.
Ferej alisema kwamba mkutano huo unaoratibiwa na upande wa Lipumba ni batili kwa sababu siyo kiongozi wa chama hicho na kwamba maazimio ya mkutano huo pamoja na mkutano wenye vitakuwa ni batili kwani hawana mamlaka.
Akitaja lengo kuu la kumvua uanachama Maalim Seif, Ferej alisema ni ili kuiondoa CUF katika kusimamia madai yake ya ushindi wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2015 ambao matokeo yake yalifutwa baada ya CUF kuibuka ushindi.
Aidha, jumuiya hiyo imetoa tahadhari kwa vyombo vya dola pamoja na Ofisi ya Msajili wwa Vyama vya Siasa kuheshimu maamuzi ya chama hicho kwani wajumbe wa mkutano mkuu wanafahamika kama walivyopatikana kupitia Uchaguzi Mkuu wa CUF wa mwaka 2014 na si vinginevyo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi na Oganaizesheni, Nassor Seif aliyeteuliwa na Prof. Lipumba amejibu tuhuma hizo zilizotolewa na JUKECUF na kusema kwamba tuhuma hizo ni za uongo mtupu na kuwataka wananchi kuzipuuza.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MKAKATI ULIVYOANDALIWA KUMNG’OA MAALIM SEIF CUF WASHTUKIWA
MKAKATI ULIVYOANDALIWA KUMNG’OA MAALIM SEIF CUF WASHTUKIWA
https://1.bp.blogspot.com/-WkR3skk65Dc/WZ_Or0aj3bI/AAAAAAAAd8c/wM8oxgyTIRMRb5WKX1mG7WnX9R9hT1PngCLcBGAs/s1600/xMaalim_Seif_Sharif_3486403b-1-620x375.jpg.pagespeed.ic.fSM0H0sqLY.webp
https://1.bp.blogspot.com/-WkR3skk65Dc/WZ_Or0aj3bI/AAAAAAAAd8c/wM8oxgyTIRMRb5WKX1mG7WnX9R9hT1PngCLcBGAs/s72-c/xMaalim_Seif_Sharif_3486403b-1-620x375.jpg.pagespeed.ic.fSM0H0sqLY.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/mkakati-ulivyoandaliwa-kumngoa-maalim.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/mkakati-ulivyoandaliwa-kumngoa-maalim.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy