MOBETO: MIMI NA MWANANGU TUNAUAWA WAKATI WOWOTE

SHARE:

Staa wa Bongo, ‘grade one’ Bongo, Hamisa Hassan ‘Mobeto’. Sakata la modo  ‘grade one’ Bongo, Hamisa Hassan ‘Mobeto’ k udaiwa kuzaa kw...

Staa wa Bongo, ‘grade one’ Bongo, Hamisa Hassan ‘Mobeto’.
Sakata la modo ‘grade one’ Bongo, Hamisa Hassan ‘Mobeto’ kudaiwa kuzaa kwa siri na msanii wa Bongo Fleva, limechukua sura mpya baada ya mrembo huyo kufichua kuwa anatishiwa kuuawa wakati wowote yeye na mwanaye wa kiume aliyemzaa Agosti 8, mwaka huu na kumpa jina la Abdul Naseeb a.k.a Prince Dully D’.
TUJIUNGE MBEZI-BEACH
Kwa mujibu wa chanzo makini ndani ya familia ya Hamisa yenye maskani yake Mbezi- Beach jijini Dar anakoishi mrembo huyo, baada ya kujifungua, kumekuwa na sarakasi nyingi zinazoendelea juu ya mwanaye huyo.
TIRIRIKA NA CHANZO
“Unajua baada tu ya kujifungua kulienea habari nyingi kuwa mtoto huyo ni wa msanii huyo hasa baada ya Hamisa kumpa mwanaye jina hilo.
…Akiwa katika pozi.
“Kilichofuata, kwanza msanii huyo alikimbilia kwenye media (vyombo cha habari) kukanusha habari hizo ambazo zimekuwa zikizagaa kwa kasi ya moto wa kifuu.
“Unajua jamaa (msanii huyo) alidhani kuna siri chini ya jua kuwa anaweza kuficha jambo hilo maana watu walikuwa wakimchomea kwa mpenzi wake ambaye amezaa naye.
HAMISA SIYO WA MCHEZOMCHEZO
“Ili kumziba mdomo Hamisa, msanii huyo aliona ni bora amkane mapema lakini Hamisa siyo wa mchezomchezo maana aligoma kuficha ishu hiyo.
“Baada ya kuona anaweza akabumburua ishu, msanii huyo alimpiga biti asizungumze na vyombo vya habari kabla ya kumwekea ulinzi wa chinichini kuhakikisha waandishi hawamfikii Hamisa.
“Sehemu pekee ambayo Hamisa aliona jamaa huyo hawezi kumzuia ni kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii hasa Instagram na Snapchat ‘so’ akawa anaposti vipande vya baadhi ya viungo vya mtoto huyo.
“Sasa baada ya kuona hivyo, msanii huyo ambaye alikwenda mara moja tu kumuona mtoto huyo alianza kumpigia simu na kumtumia meseji za vitisho.
HAMISA AISHI KWA HOFU
“Wewe fikiria Hamisa na kichanga chake sasa anaishi kwa hofu maana jamaa amemuambia kama atafunguka kuwa amezaa naye atamuondoa uhai yeye na mtoto wake.
“ Hali hiyo imeifanya family ya Mobeto iwe na hofu kubwa na ili kujiweka salama, aliona ni bora aende polisi kuripoti ili kama kutakuwa na jambo lolote baya litakalomkuta yeye na mwanaye, basi mhusika atakuwa ni msanii huyo.
“Mwanzoni tulidhani ni ishu ndogo lakini kwa vitisho anavyopokea Hamisa, vinamnyima raha na kumfanya alie tu.
HAMISA ATIA HURUMA
“Kiukweli Hamisa anatia huruma sana na anahitaji msaada kwa sababu mbali na msanii huyo pia anapata vitisho kutoka kwa mpenzi wa jamaa huyo.
“Sasa watu wanajiuliza, wakati anatembea naye hakujua kuwa kinaweza kupatikana kiumbe? Na kwa ustaa wake anashindwa nini kulihendo suala hilo kwa busara ili lisimchafulie kuliko kutoa vitisho hivyo?” kilifunguka chanzo chetu hicho na kuongeza:
“Hata kwenye ukurasa wake wa Snapchat, Hamisa ameshatahadharisha juu ya kutishiwa kuuawa yeye na mwanaye.”
Baada ya kunyetishiwa ubuyu huo, Ijumaa liliperuzi kwenye ukurasa wake huo na kukutana na ujumbe wa Hamisa uliosomeka:
“Mlidhani atafia tumboni enh…au mlijua nitafia leba…. nyie siyo Mungu na hamtakaa kuwa kamwe…& if anything bad and I mean anything bad happens to me or my son hatutawaacha salama!!!”
HUYU HAPA HAMISA
Kufuatia hali kuwa tete huku Hamisa akidaiwa kuwa kwenye msongo, Ijumaa lilimtafuta staa huyo ambapo kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalum alikiri kupokea vitisho kutoka kwa msanii huyo na kwamba ameamua kutokaa kimya na badala yake kwenda kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama ikiwemo kwa Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Makosa ya Jinai (DCI).
‘MIMI NA MWANANGU TUNAUAWA WAKATI WOWOTE’
“Ni kweli mimi na mwanangu tunauawa muda wowote. Nina ushahidi wa kutosha wa vitisho so nimeona ni vyema nitoe taarifa kwenye vyombo vya usalama,” alisema Hamisa kwa kifupi na kuahidi kulifungukia suala hilo kwa kirefu zaidi muda si mrefu.
TUMEFIKAJI HAPA?
Tetesi za Hamisa ambaye ni mwanamitindo wa kitaifa na kimataifa na video queen matata kutoka na msanii huyo zilianza baada ya kufanya naye kazi katika ‘project’ ya wimbo.
Mara baada ya kujifungua, mama na dada wa msanii huyo walikwenda hospitalini kumjulia hali Hamisa, jambo ambalo lilisherehesha sakata hilo kuwa mtoto huyo ni damu yao.
Awali mrembo huyo ambaye kabla ya sakata hilo alizaa mtoto wa kike na bosi wa redio, alimfungulia mwanaye huyo akaunti ya Instagram kwa jina ‘Tanzania Baby’, lakini baadaye aliibadilisha na kuiita Abdul Naseeb_tz ambayo kwa sasa ina wafuasi zaidi ya laki moja.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MOBETO: MIMI NA MWANANGU TUNAUAWA WAKATI WOWOTE
MOBETO: MIMI NA MWANANGU TUNAUAWA WAKATI WOWOTE
https://3.bp.blogspot.com/-4jy8GnTnpjo/WaAP-GdZBiI/AAAAAAAAd9w/52emDaS01LQUWcbonHHFz20wn3t3TTH3gCLcBGAs/s1600/hamisa_mobeto3.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-4jy8GnTnpjo/WaAP-GdZBiI/AAAAAAAAd9w/52emDaS01LQUWcbonHHFz20wn3t3TTH3gCLcBGAs/s72-c/hamisa_mobeto3.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/mobeto-mimi-na-mwanangu-tunauawa-wakati.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/mobeto-mimi-na-mwanangu-tunauawa-wakati.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy