MUIGIZAJI WA MAREKANI WA FILAMU ZA MAPIGANO, CYNTHIA ROTHROCK ATUA TANZANIA

Muigizaji mkongwe wa filamu za mapigano kutoka nchini Marekani, Cynthia Rothrock amekuja nchini Tanzania kutalii. Staa huyo aliyeigiza zaidi ya filamu 60 za action ameelekea visiwani Zanzibar.
Ametokea nchini Kenya ambako alitembelea sehemu za utalii. Kupitia Instagram, Rothrock amepost picha hiyo chini.
Miongoni mwa filamu maarufu zaidi za Rothrock ni pamoja na: No Retreat, No Surrender 2: Raging Thunder, Eyes of the Dragon, Above the Law II: The Blonde Fury, Tiger Claws II , The Inspector Wears Skirts, Millionaire’s Express, Righting Wrongs, Yes, Madam na zingine.
Filamu zake za hivi karibuni ni pamoja na: Rogue Space: The Adventures of Saber Raine, 2015, The Martial Arts Kid
2016 na Showdown in Manila – 2017.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post