MWANZA: AKAMATWA NA POLISI KWA KUMPAKA MWANAE KINYESI

SHARE:

Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumfanyia ukatili mtoto wake wa kumpaka mavi ya mbuzi kwenye majeraha aliyoungua na...

Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumfanyia ukatili mtoto wake wa kumpaka mavi ya mbuzi kwenye majeraha aliyoungua na  moto wilayani Nyamagana.
Kwamba tarehe 15.08.2017 majira ya saa 16:30hrs jioni katika Mtaa wa Chakechake – Mkuyuni Wilaya ya Nyamagana Jiji na Mkoa wa Mwanza, Sospeter Rajabu miaka 42, mvuvi na mkazi wa mtaa wa Chakechake – Mkuyuni, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumfanyia ukatili mtoto wake aitwaye Neema Sospeter miaka 10, mwanafunzi wa darasa la kwanza, wa kumpaka mavi ya mbuzi kwenye majeraha ya moto aliyoungua maeneo ya mapaja ya miguu yote miwili kwa muda wa wiki mbili na kupelekea majeruhi kuwa na hali mbaya kiafya, kitendo ambacho ni kinyume na sheria.
Inadaiwa kuwa tukio hilo la ajali ya moto dhidi ya mtoto lilitokea tarehe 04.08.2017 majira ya saa 19:45hrs usiku, katika mtaa wa Kitangiri wilayani Ilemela ambapo majeruhi alikuwa akiishi na mama yake kwani wazazi wake walitengana kwa muda mr
Inasemekana ajali hiyo ya moto ilitokea baada ya majeruhi kumwagikiwa na mafuta ya taa pindi alipokuwa akiweka kwenye taa ya kibatari ndipo alipowasha moto na njiti ya kibiriti moto ulilipuka na kumuunguza kwenye maeneo hayo.
Inasemekana kuwa baada ya mama wa mwenye mtoto kukosa fedha za matibabu aliamua kumpeleka mtoto kwa baba yake Mtaa wa Chakechake – Mkuyuni alipokua akiishi na mke mwingine ili amsaidie mtoto apate matibabu, lakini inadaiwa kuwa baada ya mtoto kufikishwa kwa baba yake hakupelekwa hospitali badala yake alikuwa akipakwa mavi ya mbuzi na kupelekea hali yake kuzidi kuwa mbaya.
Wananchi walitoa taarifa polisi kuhusiana na tukio hilo, ambapo askari walifanya ufuatiliaji wa haraka hadi maeneo hayo na kufanikiwa kumkuta mtoto  akiwa kwenye hali ngumu.  Askari kwa kushirikiana na wananchi walimchukua mtoto huyo na kumkimbiza Hospitali ya Mkoa ya Sekou Toure kupatiwa matibabu huku baba wa mtoto Sospeter Rajabu akitiwa nguvuni.
Polisi wapo kwenye upelelezi na mahojiano na mtuhumiwa dhidi ya ukatili aliyokuwa akimtendea mwanae, pindi uchunguzi ukikamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
Majeruhi amelazwa Hospitali ya Mkoa ya Sekou Toure akiendelea kupatiwa matibabu na hali yake inaendelea vizuri.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishina wa Polisi Ahmed Msangi anatoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Mwanza, kuwa pale ambapo kunatokea mtoto au mtu yeyote anapata majeraha au kuungua ni vizuri wakawaone madaktari katika hospitali ambapo wanaweza kupata huduma bora na stahiki za matibabu kuliko kutumia njia za kienyeji zisizofaa ambazo hazina ubora/usahihi, kwani kufuata njia ambazo si sahihi na bora kunaweza kupelekea kifo kwa mgonjwa.
Imetolewa na;
DCP: Ahmed Msangi
Kamanda wa Polisi (M) Mwanza

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWANZA: AKAMATWA NA POLISI KWA KUMPAKA MWANAE KINYESI
MWANZA: AKAMATWA NA POLISI KWA KUMPAKA MWANAE KINYESI
https://3.bp.blogspot.com/-i2w47kieHds/WZRvHhJsqxI/AAAAAAAAdkw/bOe9n_Y7cqQte1LyduGj40GPIUSOohDpgCLcBGAs/s1600/xmsangi-750x375.jpg.pagespeed.ic.M17_mo8kby.webp
https://3.bp.blogspot.com/-i2w47kieHds/WZRvHhJsqxI/AAAAAAAAdkw/bOe9n_Y7cqQte1LyduGj40GPIUSOohDpgCLcBGAs/s72-c/xmsangi-750x375.jpg.pagespeed.ic.M17_mo8kby.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/mwanza-akamatwa-na-polisi-kwa-kumpaka.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/mwanza-akamatwa-na-polisi-kwa-kumpaka.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy