ODAMA: KUFANYA BETHIDEI ZA MBWEMBWE NI UTOTO

Staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
STAA wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa hakuweza kufanya sherehe kubwa kwenye siku yake ya kuzaliwa kwa sababu anaona kufanya hivyo ni kama utoto.
Akizungumza na Amani, Odama alisema ameamua kutofanya kitu kubwa mpaka atakapokuwa mzee, itakuwa na maana kubwa kuliko kufanya kila mwaka.
“Huwezi amini yaani hata kama zamani nilikuwa nafanya hivyo basi nilikuwa bado akili yangu haijachangamaa kabisa lakini mambo ya sherehe kubwa nitafanya nikiwa mzee kwa sasa tena hapana,” alisema Odama ambaye bethidei yake ni Agosti 26.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post