PICHA: 13 WENGINE WAUAWA WILAYANI KIBITI

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limefanya operesheni ilayani Kibiti na kufanikiwa kuwaua majambazi 13 waliokuwa wakihusika katika matukio ya uhalifu mkoani Pwani.
Baada ya kutekeleza operesheni hiyo eneo la Tangibovu wilayani Kibiti, Polisi wamefanikiwa kukamata bunduki 8, Pikipiki mbili na begi la nguo, vyote vikiaminika kuwa mali ya watuhumiwa hao.
Hapa chini ni picha za Polisi wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro wakionyesha mali walizozikamata katika operesheni hiyo.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post