PICHA: JESHI LAMPONGEZA MWANARIADHA, ALPHONCE SIMBU

SHARE:

Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo akizungumza wakati wa kumpongeza   Mshindi wa tatu wa Mbio za Dunia za Lo...

Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo akizungumza wakati wa kumpongeza  Mshindi wa tatu wa Mbio za Dunia za London Marathon mwaka huu, Felix Simbu pamoja na wenzake watatu ambao walienda katika mashindano ya Dunia za London Marathon nchini Uingereza.
 Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akizungumza wakati wa Jeshi la kujenga taifa limewapongeza  washindi hao walipowasili hapa nchini tangu walipotoka kwenye mashindano ya Riadha ya Dunia yaliyofanyika nchini Uingereza. Amesema kuwa “Ushindi huu si wangu peke yangu bali ni wa wetu sote kutokana tulikuwa na umoja.”Huu ni ushindi wa wote, hivyo umoja wetu utazidi kujitahidi kufanya vizuri zaidi hapo baadae,”.
Katibu Baraza la Michezo Tanzania(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza wakati wa kuwapongeza washiriki wa mashindano ya Riadha ya Dunia ambapo Tanzania ilikuwa na wanariadha wanne na  Mshindi wa tatu wa Mbio hizo za Dunia za London Marathon kutoka Tanzania ni Alfonce Simbu.
 Mwakilishi wa Multchoice, akizungumza katika hafla fupi iliyoandali na Jeshi la Kujenga Taifa akiwapongeza washiriki wa Mashindano hapo ikiwa mshindi watatu wa mashindano ya riadha ya dunia aliibuka kidedea 
Alphonce Simbu.
Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akiwa na amesimama wakati wa kutambulishwa mbele ya waalikwa waliohudhuria hafla ya kuwapongeza mara baada ya kurejea hapa nchini.
 Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza walioshiriki katika mashindano hayo ya Riadha ya Dunia.
Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akipokea  tuzo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo leo wakati wa kuwapongeza washiriki wa mashindano hayo.
 Wanariadha wakipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa Jeshi la Kujenga Taifa.
 


 Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuwapongeza kushiriki mashindano ya Rianda ya Dunia.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: PICHA: JESHI LAMPONGEZA MWANARIADHA, ALPHONCE SIMBU
PICHA: JESHI LAMPONGEZA MWANARIADHA, ALPHONCE SIMBU
https://4.bp.blogspot.com/-AFhV_Y2V7yk/WZXxQK77O1I/AAAAAAAAdqA/bQj0Rr2J1aghhCj_HK_3EgNwdQMjO8ccgCLcBGAs/s1600/DSC_0175.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-AFhV_Y2V7yk/WZXxQK77O1I/AAAAAAAAdqA/bQj0Rr2J1aghhCj_HK_3EgNwdQMjO8ccgCLcBGAs/s72-c/DSC_0175.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/picha-jeshi-lampongeza-mwanariadha.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/picha-jeshi-lampongeza-mwanariadha.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy