PICHA: RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA FERI NA KUPANDA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI

Rais Magufuli akisalimiana na baadhi ya vijana aliokutana nao mapema leo asubuhi alipotembelea eneo la Feri Jijini Dar es Salaam, amevuka kwa kutumia kivuko cha Mv Kigamboni kwenda Kigamboni.Rais Dkt Magufuli alipokuwa akivuka kwenda Kigambo mapema leo asubuhi kwa kutumia Kivuko cha MV Kigamboni.Rais Magufuli akimsikiliza mmoja wa walemavu mapema leo asubuhi alipotembelea eneo la Feri Jijini Dar es Salaam na kuvuka kwa kutumia kivuko cha Mv Kigamboni kwenda Kigamboni.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post