PICHAZ : ALICHOKIFANYA MWANACHUO HUYU NI AIBU!

SHARE:

Agness Mmassy. ALICHOKIFANYA MWANACHUO HUYU… DaDa mmoja anayedai ni mwanafunzi wa chuo huko jijini Mwanza, agnes Mmassy, mkazi wa...

Agness Mmassy.

ALICHOKIFANYA MWANACHUO HUYU…


DaDa mmoja anayedai ni mwanafunzi wa chuo huko jijini Mwanza, agnes Mmassy, mkazi wa Singida, alichokifanya kimezua gumzo baada ya kutupia picha akiwa mtupu huku sehemu zake za siri akiziziba kwa taulo tu. Katika mitandao ya kijamii, picha hizo kila mmoja alizizungumzia kwa namna yake, baadhi wakisema ni laana, wengine wakidai hajitambui na ulimbukeni.

Risasi Jumamosi lilifanikiwa kuzungumza naye ambapo alikiri kuwa picha hizo ni zake na haoni tatizo lolote kuziweka mtandaoni. “Mimi ni Video Queen, sioni kama kuna tatizo, napenda kupiga picha za namna hiyo kwa sababu nataka kutengeneza jarida (magazine), hakuna mtu anayenishawishi bali napiga picha kwa sababu ninapenda kupiga picha hizo.

“Ninaishi na wazazi wangu wote na wanaona ni kawaida, kwa watu ambao zinawakera wala sijali kwa sababu furaha yangu ni kukaa hivyo kama walivyoona.

“Na picha hizi napigwa na mpigapicha mmoja, siyo kwamba nabadilisha na wala hatujawahi kushawishika kufanya tendo lolote baya zaidi ya kazi.

“Mimi ni mwanachuo, niko mwaka wa kwanza na ninachukua Kozi ya Sheria, chuo kimoja kilichopo jijini Mwanza.

“Napata changamoto nyingi ila watu wajue kuwa siko kwa ajili ya mapenzi,” alisema msichana huyo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: PICHAZ : ALICHOKIFANYA MWANACHUO HUYU NI AIBU!
PICHAZ : ALICHOKIFANYA MWANACHUO HUYU NI AIBU!
https://3.bp.blogspot.com/-9DnxQgqle30/WZhnUoBuLRI/AAAAAAAAdzI/BYXrng2cUZwn8FueScW6YaiigHbuYeg_gCLcBGAs/s320/20838919_1598238956915944_2975160344571281408_n.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-9DnxQgqle30/WZhnUoBuLRI/AAAAAAAAdzI/BYXrng2cUZwn8FueScW6YaiigHbuYeg_gCLcBGAs/s72-c/20838919_1598238956915944_2975160344571281408_n.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/pichaz-alichokifanya-mwanachuo-huyu-ni.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/pichaz-alichokifanya-mwanachuo-huyu-ni.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy