RAIS KIKWETE AVITETEA VYAMA VYA UPINZANI

SHARE:

Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amevitaka vyama tawala barani Afrika kutovich...

Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amevitaka vyama tawala barani Afrika kutovichukulia vyama vya upinzani kama maadui wa serikali badala yake vionekane kama moja ya nguzo muhimu katika kutimiza utawala wa sheria.
Aidha, Rais Kikwete amewataka wabunge wa vyama tawala pamoja na viongozi wengine, kuvikosoa vyama vyao pale vinapokwenda mrama badala ya kuwa waoga na kuunga mkono mambo yote.
Rais Kikwete ambaye ni maarufu Tanzania kwa jina la JK ameyasema hayo alipokuwa katik mkutano wa masuala ya uongozi barani Afrika wa mwaka 2017 (African Leadership Forum 2017) ambao umefanyikia nchini Afrika Kusini.
Viongozi wengine waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, Rais mstsaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki na Rais mstaafu wa Malawi, Bakili Muluzi.
Akizungumza katika kongamano hilo la siku mbili lililomalizika Agosti 25, 2017, JK alisema kuwa, kuvichukulia vyama vya upinzani au wanasiasa wa upinzani kama maadui, ni kutengeneza uadui ambao hauna ulazima katika nchi za Afrika.
Kikwete alisema kuwa vyama vya upinzani katika nchi nyingi za Afrika vina kazi kubwa ya kuhakikisha vinanadi sera zao kwa wananchi ili viweze kufahamika zaidi kwa vingi ni vichanga. Hii itasaidia wananchi kuwa na uelewa wa sera pamoja na mipango yao inapofika wakati wa uchaguzi wakiomba dhamana ya kuongoza nchi, alisema JK.
Mbali na wito huo kwa watawala, Rais Kikwete alivitaka vyama vya upinzania pia kukubali matokeo ya uchaguzi endapo umefanyika katika mazingira ya haki, uhuru na uwazi.
Kazi ya vyama vya upinzani ni kuhakikisha kuwa serikali inakuwa macho muda wote kutekeleza majukumu yake, lakini na wao wasiwe watu wa kupinga au kukataa kila jambo.
Kauli hii ya Rais Kikwete imekuja wakati ambao vyama vya upinzani nchini vinalalamika kuhusu kuzuiwa kwa mikutanao ya kisiasa, maandamano, pamoja na kukamatwa mara kwa mara kwa viongozi wa vyama vya upinzani.
Kwa upande wake Rais Mzee Mkapa, alivitaka vyombo vya habari na waandishi wa habari kuwa wazalendo kwa nchi zao wanapofanya kazi na waandike habari zitakazochochea maendeleo ya wananchi pamoja na kuzikosoa serikali kwa nia ya kujenga.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RAIS KIKWETE AVITETEA VYAMA VYA UPINZANI
RAIS KIKWETE AVITETEA VYAMA VYA UPINZANI
https://2.bp.blogspot.com/-u5_aN1Y0TGg/WaEzLwSUAxI/AAAAAAAAd_Q/jTL1nxstlaIm70NmWuJLuJhicAbFt97WACLcBGAs/s1600/x96249135-612x375.jpg.pagespeed.ic.kZeYbOcTw-.webp
https://2.bp.blogspot.com/-u5_aN1Y0TGg/WaEzLwSUAxI/AAAAAAAAd_Q/jTL1nxstlaIm70NmWuJLuJhicAbFt97WACLcBGAs/s72-c/x96249135-612x375.jpg.pagespeed.ic.kZeYbOcTw-.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/rais-kikwete-avitetea-vyama-vya-upinzani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/rais-kikwete-avitetea-vyama-vya-upinzani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy