RAIS MAGUFULI ACHUKUA SHAMBA JINGINE LA SUMAYE

SHARE:

Wakati machungu ya kupoteza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 33 lililokuwa Mabwepande yakiwa hayajatuliwa, aliyekuwa Waziri Mkuu Katika ...

Wakati machungu ya kupoteza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 33 lililokuwa Mabwepande yakiwa hayajatuliwa, aliyekuwa Waziri Mkuu Katika serikali ya awamu ya tatu, Frederick Sumaye amepoteza shamba jingine mkoani Morogoro baada ya serikali kulichukua.
Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero imelitwaa shamba la Sumaye lenye ukubwa wa ekari 326 baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Magufuli kwa madai kuwa hajaliendeza licha ya kupewa notisi ya kufanya hivyo.
Shamba la Sumaye la Mabwepande lilichukuliwa Novemba mwaka jana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi akifikia uamuzi huo baada ya mmiliki wa shamba hilo kutoliendeleza kama notisi ya siku 90 aliyopewa ilivyokuwa ikimtaka. Oktoba 28 Rais Magufuli alibatilisha umiliki wa shamba hilo namba 3,074 lililopo Mabwepande. Shamba hilo lilikuwa na hati namba 53086 na jina la umiliki lilikuwa ni Frankline Sumaye.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Florent Kyombo jana alisema kuwa Rais Magufuli amekubali kufutwa kwa umiliki wa shamba hilo kupitia ilani ya ubatilisho ya Mei mwaka huu.
Kabla ya kutangaza uamuzi huo jana, Mkurugenzi huyo alisema kwamba Sumaye alipewa notisi ya siku 30 ya kueleza sababu za kutoendeleza shamba hilo kwa shughuli za kilimo kama lilivyosajiliwa, lakini maelezo aliyetoa yalielezwa kuwa hayakuwa na mashiko kiasi cha kuweza kubadili uamuzi huo.
Imeeleza kwa licha ya Sumaye ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani kuendeleza sehemu ndogo ya shamba hilo lakini amekiuka Sheria ya Mipango Miji Namba 8 ya mwaka 2007 pamoja na Sheria ya Ardhi namba 4 ya 1999.
Kwa mujibu wa sheria hizo, Sumaye alitakiwa kulitumia shamba hilo kwa shughuli za kilim0 na si ufugaji.
Kyombo alisema kwamba, ndani ya miezi minne watakuwa wamemaliza taratibu za kuligawa shamba hilo kwa wananchi ili waweze kufanya shughuli za kilimo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyoanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii jana asubuhi ikionyesha kuandikwa na Sumaye, ilieleza tukio hilo la kunyang’anywa shamba, akisema kuwa ni kutokana na sababu za kisiasa.
“Kwangu mambo siyo mazuri, mtakumbuka baada tu ya kuingia upinzani serikali ilitishia muda mrefu kuchukua mashamba yangu bila sababu za msingi, hata wakati wa kampeni baadhi ya viongozi wa CCM walitamka hadharani kuwa huyu dawa yake ni kumnyang’anya mashamba yake. Shamba la Mabwepande ekari 33 wameagiza wiki hii halmashauri iligawe kwa wavamizi na wengineo.”
Aidha, Sumaye katika taarifa hiyo alionyesha kusikitishwa na madai kuwa shamba hilo la mvomero hajaliendeleza ambapo alisema katika shamba hilo kuna mifugo yake, mashine mbalimbali, visima vya maji pamoja na mazao.
“Jana nimepokea barua kuwa shamba la Mvomero ekari 326 limetwaliwa na Rais na sitakiwa kukanyaga hapo. Shamba hilo lina majengo, mazao, mashine mbali mbali, visima virefu vya maji, umeme na mifugo mchanganyiko zaidi ya 200. Kisingizio shamba halijaendelezwa! Shamba lenye vitu vyote hivyo halijaendelezwa?? “
Sumaye alieleza kwamba tayari alishafungua kesi katika Mahakama Kuu kwa mashamba yote na mahakama imeweka zuio la kutokuingiliwa mashamba hayo mapaka mashauri ya msingi yatakapoamuliwa lakini serikali imeamua kukaidia uamuzi huo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RAIS MAGUFULI ACHUKUA SHAMBA JINGINE LA SUMAYE
RAIS MAGUFULI ACHUKUA SHAMBA JINGINE LA SUMAYE
https://4.bp.blogspot.com/-egHMsy7ieQA/WY_x7q-K56I/AAAAAAAAddo/XbqZvX-u5xQ4ajLsbpLtN2uxZbzGahAvACLcBGAs/s1600/xsumaye-640x375.jpg.pagespeed.ic.mD_xsMCAyo.webp
https://4.bp.blogspot.com/-egHMsy7ieQA/WY_x7q-K56I/AAAAAAAAddo/XbqZvX-u5xQ4ajLsbpLtN2uxZbzGahAvACLcBGAs/s72-c/xsumaye-640x375.jpg.pagespeed.ic.mD_xsMCAyo.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/rais-magufuli-achukua-shamba-jingine-la.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/rais-magufuli-achukua-shamba-jingine-la.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy