SERIKALI YAKIFUNGIA CHUO MKOANI SINGIDA BAADA YA KUKITILIA MASHAKA

Serikali ya Mkoa wa Singida imekifunga chuo kimoja mkoani humo kilichokuwa kikitumia na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu kwa kile walichoeleza kuwa hakina usajili.
Uamuzi huo umefikiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Singida ambapo imekifungia Chuo cha Masjid Shafii cha Mjini Singida kutokana kutotambulika kwa shughuli zinazofanywa na chuo hicho ambacho pia hakina usajili.
Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye ni Mkuu wa Mkoa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi pamoja na kutangaza hatua hiyo pia ameagiza wanafunzi na walimu wote waliopo katika chuo hicho kinachotumia usajili wa Msikiti wa Masjid Shafii kurejea makwao
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post