SERIKALI YATAIFISHA KIWANDA CHA KAMPUNI YA MANJI

SHARE:

Serikali imekitaifisha kiwanda cha kusindikiza ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo eneo la viwanda Ilemela mkoani Mwanza, baada ya wamil...

Serikali imekitaifisha kiwanda cha kusindikiza ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo eneo la viwanda Ilemela mkoani Mwanza, baada ya wamiliki wake kushindwa kukiendeleza kuanzia mwaka 1998 hadi sasa.
Aidha, serikali imebaini kuwa kuna udanganyifu wa umiliki wa kiwanda hicho uliodaiwa kufanywa na Kampuni ya Quality Group.
Uamuzi huo umetangazwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo, wakiwemo pia wawakilishi wa Kampuni ya Caspian na Quality Group zilizoshindwa kutekeleza masharti ya mkataba wa kukiendeleza kiwanda hicho.
Msimamizi wa kiwanda hicho kutoka kampuni ya Quality Group,chacha mathew pamoja na kiongozi wa ulinzi wa kampuni ya Caspian kanda ya Ziwa Noordin Suleiman wanaelezea namna walivyopokea uamuzi huo wa serikali wa kukitaifisha kiwanda hicho.
Kiwanda hicho awali kilikuwa kikimilikiwa na kampuni ya Africa Tanneries kisha kubadilishwa umiliki wake kwenda kwa kampuni ya Kasco ambayo na yenyewe inadaiwa imebadilisha umiliki wake kwa kampuni ya Quality Group ambayo inadaiwa imeshindwa kukiendeleza.
Kampuni za Quality Group na Kasco zimekuwa kwenye mgogoro wa muda mrefu juu ya umiliki wa kiwanda hicho, huku kila mmoja akidai kuwa ndiye mmiliki halali,hadi serikali ilipoamua kukata mzizi wa fitina baada ya kuchukua hatua ya kukifunga na kukitaifisha hadi hapo mwafaka utakapopatikana.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SERIKALI YATAIFISHA KIWANDA CHA KAMPUNI YA MANJI
SERIKALI YATAIFISHA KIWANDA CHA KAMPUNI YA MANJI
https://3.bp.blogspot.com/-Ld8o0MN4cTE/WY1PjJoMfMI/AAAAAAAAdXQ/MR1ZPJU8z4wDXUnZibuknPoqcfHzpnSSwCLcBGAs/s1600/xthumb_318_800x420_0_0_auto-750x375.jpg.pagespeed.ic.N3hAU4t_f5.webp
https://3.bp.blogspot.com/-Ld8o0MN4cTE/WY1PjJoMfMI/AAAAAAAAdXQ/MR1ZPJU8z4wDXUnZibuknPoqcfHzpnSSwCLcBGAs/s72-c/xthumb_318_800x420_0_0_auto-750x375.jpg.pagespeed.ic.N3hAU4t_f5.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/serikali-yataifisha-kiwanda-cha-kampuni.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/serikali-yataifisha-kiwanda-cha-kampuni.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy